Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Hii dunia ni njia tunapita viburi vyetu sisi wanadamu havitusaidii chochote kwny huu ulimwengu.
 
Mambo sio mambo ni vita na purukushani kadhaa
Jamvini humu

Napita!
 
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.

Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
Uhuru nimemvulia kofia ni zaidi ya kiongozi
 
Wamechemka hapo msikitini aisee kwa kweli shughuli ilikuwa muhimu, sio adhana kwa nguvu
Nimawazo yako pia uheshimiwe na wao waheshimiwe kwa imani yao kama alivyofanya uhuru.kufa kwa mtu haimaanishi vitu vingine kusimama maisha yanaendelea
 
Waislam mnapenda kujali vitu vidogo vidogo sana.

Nimeona vijana twitter wakifurahi sana.

Kwani kuna sehemu amesema alinyamaza kwa ajili ya adhana? Labda alikua ameshikwa na kitete cha msiba, maumivu, heshima kwa marehemu.

Jamaa alikua anagugumia maumivu ya msina nyie mlishakimbilia eti ameheshimu adhana, adhana?

Hii dini bwana
Ni mawazo yako yaheshimiwe pia bila kuwanyioshea wengine vidole
 
Hao wa msikiti si wasingetumia hzo speaker kwa leo tu

Yani adhana isitolewe sababu ya mtu kufa!!! Mitume wa Mwenyezi Mungu na ndio Mitume hao, na maswahaba wameondoka na adhana zikiendelea sembuse sisi!!! Hizo akili za wapi wewe dada? Tena usirudie kuongea hayo
 
Rais Kenyatta amekua na wasomali kupitia baraza la mawaziri tangu enzi za Baba yake
Mpaka anashika madaraka na wengine wamo kwenye baraza lake la mawaziri

Anajua umuhimu wa Adhana na kusubiri iishe
Kwa watu wa Kenya sidhani kama wanashangaa hii
 
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.

Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
Hii habari mbona haina Proof! ni kweli imetokea au tunaongae tu?maana sisi kwa kuzungumza.....
 
Back
Top Bottom