Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kwenye uislam hakuna dharura yoyote inayo sababisha ibada ihairishwe hata vitan unatakiwa uswali, kwahiyo haiwez kuacha kupigwa adhana kisa kuna mtu kafariki kwakua Mungu ni mkubwa kuliko viumbe.
Umesema kwa dini yako wapagani hawajui hayo na sio kila mtu ni Imani hyo
 
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule. Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
Alikuwa analia😭😭! Akashindwa kuendelea kuongea kwa uchungu!
 
na kuimba msibani sio kelele.nakumvalia nguo za kubana marehemu na kumchezea huku mkiimba sio kelele na kumvunjia heshima
Vyovyote unavo define wewe ni sawa tu, hata watu wakibinuka no problem as Long as haiingiliani na Mambo mengine na kuleta distraction
 
Mkalimani amechapia sehemu kwenye hotuba ya rais wa SA watu wakazomea[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kumbe Tz weng wanajua kudhungu bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilisubiri kuona hii. Yule hajachapia kaunganisha mapambio na yule rais wa SA kamuelewa ndio maana karudia tena mara mbili kile alichosema. Baada ya hapo nikapata wasiwasi kama tafsiri ya Felix wa Congo DR ilikuwa halisi.
 
unamaanisha angeacha kuwaita waumini wake kwenda kufanya ibada?
kwa ninavyowafahamu waislamu, hakuna kitu kingine kikubwa zaidi ya ibada!
Shangaa mbona Makanisani ibada na ratiba nyingine zinaendelea.? Magufuli kama anapendwa hakuna wakubalisha na kinyume chake.
 
Dah kwahyo ningeandika unachopenda nisingekuwa na tatizo?
Mimi naona wewe ndo una matatizo
Fuata ushauri niliokupa acha kukata viuno hapa kwa kutafuta sifa za kijinga,naona hii mada imekuchoma kama Pasi,vumilia tu ndio imesha tokea au endelea kuyasikilizia maumivu.
 
Watu wamemcheka mpaka kaomba msamaha kuwa najisikia Vizuri.
Yeah, nahsi ata yule raisi alielewa kitu hadi aliamua kurudia maneno yaleyale, ila jamaa nadhani alikuwa mbali kimawazo akashindwa kusikiliza vzr alichoongea raisi, na ukalimani unahitaji umakini wa hali ya juu na uwezo mkubwa tofaut na tafsiri.

Yani mkalimani hatakiwi kujishughulisha kimawazo au hata kimatendo wakati anaifanya hii kazi ngumu.
But later alikuwa makini mnooo.
 
Nilisubiri kuona hii. Yule hajachapia kaunganisha mapambio na yule rais wa SA kamuelewa ndio maana karudia tena mara mbili kile alichosema. Baada ya hapo nikapata wasiwasi kama tafsiri ya Felix wa Congo DR ilikuwa halisi.
Jamaa alikuwa mbali kimawazo na hivo huenda hakusikia vzr na hivo kutoa tarifa isiyo ya kwel, ndiyo maana watu walishituka. Siyo kama alishindwa, noo hakushindwa ila mind yake ilikuwa mbal kidg😁
Ile kazi inahitaji umakini sana na inatakiwa uwe vzr kwenye suala la listening na siyo hearing😁
 
Back
Top Bottom