Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

lazima niseme ukweli, huyu raisi kijana, Kenyatta, yuko vizuri sana kichwani.....vizuri sana. halafu ni mjanja mjanja fulani, sio mshamba!!

alichokifanya leo ni funzo kubwa kwetu, wakristo na waislamu.
👍👍🤣🤣
 
Acha uwongo hapo msiban mbona kuna gwaride la majeshi cheki ulivyo chiz ety kelele Hahaha.
 
Kwa kuwa kuna mtaala wa historia na kutakuwa na mada za kujifunza uzalendo, bila shaka watatufundisha na vitu na maeneo na watu wapaswao kuheshimiwa na namna ya kuviheshimu, uenda ikasaidia kuleta baadhi ya tamaduni pamoja!
 
Siyo jambo geni hili👇🏾...
 
Uhuru Kenyatta aliona muingiliano wa shughuli kupitia vipaza sauti vya uwanjani pia toka msikiti wa jirani na alijua fika adhana itakwisha ndani ya muda mfupi akaamua ku kusita " ku-pause".

Uhuru Kenyatta anaufahamu wa dini za raia wa Kenya na Afrika Mashariki hivyo alifahamu adhana ni jambo la muda mfupi na halina athari kwa yeye kusubiri ipite naye ataendelea na hotuba yake.
 
Wewe unataka Takbir itangazwe?Jamaa wapo serious sana wanapomuomba mungu wao!
Kila mtu huwa yuko serious na kusali mbona, au wewe huwa una joke mwenzangu, kwa jinsi ninavo comments humu wataweza andamana nimemtukana Mungu wao
 
Hakuna shughuli muhimu kuliko IBADA ndugu yangu.
Ndio tupigiane kelele aisee, sio msikitini hata Church inabidi vifungwe vifaa vya kutokutoa SAUTi, najua wanafiki watanishambulia
 
Fuata ushauri niliokupa acha kukata viuno hapa kwa kutafuta sifa za kijinga,naona hii mada imekuchoma kama Pasi,vumilia tu ndio imesha tokea au endelea kuyasikilizia maumivu.
Bwana wewe ndo una mihemko kisa dini hadi washindwa tumia akili watumia hisia tu
 
Ndio tupigiane kelele aisee, sio msikitini hata Church inabidi vifungwe vifaa vya kutokutoa SAUTi, najua wanafiki watanishambulia
Kwahiyo adhana ni kelele? CHUNGA MANENO YAKO.
Jioni njema.
 
Back
Top Bottom