Hahahaha.
Ni maagizo ya Mwenyezi Mungu kukubushana mkuu, tena ametuamrisha sio ombiii kama wewe hufanyi utajua wewe na mungu wako?muumini wa kweli awr mkristo au muislamu enzi hizi hahitaji adhana wala kengele ya kanisa kumwambia ni wakati wa kusali na kuwasumbua wengine na kelele anatakiwa aweke alarm tu kwenye simu au saa tena aweza weka mlio wa kengele ya kanidsa au adhana ikamstu bila kusumbua wengine.
Mi sio basha cariha. Sasa mbona unaanza kuniogopa wakati hata hijaniona? [emoji1787].Kweli na sura mbovu ka ya Bibi yako hujakosea kabisa, na Mimi huku JF sitafti basha, so kwangu umekosea njia
Sio naogopa sijajaja humu kutafta mabasha na sina huo uwezo wa kuyapanda maana Mimi sio dume, hafu hili jina ni vifupisho ya mambo yangu binafsi hyo tafsiri chafu baki nayo maana aliwazalo mjinga ndo humtokeaMi sio basha cariha. Sasa mbona unaanza kuniogopa wakati hata hijaniona? [emoji1787].
Hilo jina kwanza inabidi tufanye mpango kulibadili. Manake kwa lugha ya kingoni maana yake chafu sana.
Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Sorry sweet jelebi.Kweli na sura mbovu ka ya Bibi yako hujakosea kabisa, na Mimi huku JF sitafti basha, so kwangu umekosea njia
[emoji23][emoji23][emoji23]na wewe ni fool watatu,hadi unatufatilia ujue una shida somewhere
Babu mzima una wajukuu hujiheshimu utakuja kufia kwenye k kama nzi kufia kwa kidonda utie aibu huo utitiri wa wake zakoSababu ziko nyingi lkn moja tu ya fasta hii.
Mimi ni babu wa wajukuu sita.
Yeye ni mgumba hazai. Lkn bado nampenda hivyo hivyo.
I can carry on if you allow me boss man
Kwa sasa sidhani kama adhana muhimu mtu kama muumini kweli wa dini hahitaji mtu wa kuadhini kumwita kwenda kusali na kupigia kelele wengine wasio waislamu aweza set alarm kwenye saa ya ukutani au simu yake ikamuamsha bila kusumbua kwa kelele watu wengine wasio waislamu
Sasa hivi hakuna wadio na simu au saa mijini.Zamani enzi za Mohamed ilikuwa sawa lakini kwa sasa alarm inatosha haihitaji muadhini au kengele ya kanisa kusumbua wengin kumuambia mtu ni wakati wa kusali
Kwahyo kwa vile ni Imani yako mna Force watu wafanye mtakavyo, tofautisha imani na maoni binafsi ya mtu anachoamimiSorry sweet jelebi.
Nilikuwa likizo miaka kadhaa.
Uskonde kwa maneno yangu.
Jaribu kuheshimu tu imani za watu na wewe utaheshimiwa.
By the way my offer still stand.
Sio ujasiri.Nadhani wakati ulifika wakaendelea na ibada kama kawaida yao kwani ibada hapo ni kila kipindi kila siku.Hizi adhana ni ukumbusho wa ibada kwa watu walio karibu na ndio kitu cha msingi kuletwa duniani.Misiba ni mambo yanayojitokeza bila kutarajiwa.Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Kabisa yaaaniMkuu shukrani sana ni matumizi ya common sense tuu, wapo watu wanaishi karibu na makanisa na kuna kengele za kanisa na wana vumilia kwasababu vyote vinatukumbusha kumcha Muumba wetu.
Religious tolerance ni kitu muhimu katika ustawi wa nchi yoyote.
Mpaka siku ya mwisho ikifika madhumuni ya adhana hayatabadilika.Na kila tukisonga mbele basi utaona hii kitu ndio inahitajika zaidi kwani watu enzi hizi wanazoziita za maendeleo ya kiteknolojia ndio wanajisahau zaidi kuwa kuna muumba.Hawa ndio wanaohitaji kukumbushwa. Hii alam unayosema ni kwa yule ambaye amekusudia kufanya hiyo ibada.Yule aliye kwenye mabanda ya video na kumbi za starehe ni lazima akumbushwa ili huko akhera akiulizwa na akiadhibiwa kusiwe na hoja nyengine juu kudharau kwake ibada.Kwa sasa sidhani kama adhana muhimu mtu kama muumini kweli wa dini hahitaji mtu wa kuadhini kumwita kwenda kusali na kupigia kelele wengine wasio waislamu aweza set alarm kwenye saa ya ukutani au simu yake ikamuamsha bila kusumbua kwa kelele watu wengine wasio waislamu
Sasa hivi hakuna wadio na simu au saa mijini.Zamani enzi za Mohamed ilikuwa sawa lakini kwa sasa alarm inatosha haihitaji muadhini au kengele ya kanisa kusumbua wengin kumuambia mtu ni wakati wa kusali
mfano rahisi tu, shule lazima ipigwe kengele kwa ajili ya kuhesabu namba au kwenda mstarini: je, wanafunzi hawajui ratiba?Hivi huwa wanasahau ratiba hadi waitwe?
Na muadhini hajawahi kusahau ratiba kama wengine?mfano rahisi tu, shule lazima ipigwe kengele kwa ajili ya kuhesabu namba au kwenda mstarini: je, wanafunzi hawajui ratiba?
na vp kuhusu huko kusahau, kwani hakupo? watu hawasahau? bila shaka wanasahau....wataachaje kwanza na kasi hii ya maisha!!!!!!!!
Nafikiri ni vigumu kwake sababu ya hofu na mshawasha mkuu anaokuwa nao juu ya jukumu hilo (kwamba atabeba mzigo mzito kiasi gani ikiwa atawakosesha watu sala na ni faida (thawabu) na raha kiasi gani kuwaona watu wakiitikia wito wa kumuabudu Mungu uliouita).Na muadhini hajawahi kusahau ratiba kama wengine?