Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

Yes, kaheshimu dini ya kislam, serikali yetu haina uvumilivu kwa waislamu, uwamsho wako ndani kwa sababu tu wana mawazo tofauti na serikali, Shekh Ponda ana case tele mahakamani, Adhana ilikuwa ni ujumbe tosha kwa waislamu na wasio kuwa waislamu.

Kule South Africa wa Christian waliandamana ili Adhana isikike, kuna wahindu flani walienda court ili kuzuia Adhana isikike, Baada ya muda wananchi kujua, waliandamana, japo kuwa sio waislamu walisema pale wanapo sikia Adhana huhisi kuwa kuna Amani Eneo hilo.
 
Alikuwa anaongea maneno mazito, ghafla akakaa kimya. Baadhi ya watu hapa uwanjani walijiuliza "Kwa nini amekaa kimya?


Sekunde chache baadae walifahamu kwamba Rais Uhuru Kenyatta amekaa kimya ishara ya heshima kwa adhana iliyosikika kutoka misikiti iliyo karibu na uwanja huu. Baada ya adhana aliendelea.
efmtanzania-___CMt5kQxLozV___-.jpg


Alipoendelea alirudi kwenye mistari ya Biblia, akaitumia kumtia moyo Rais @samia_suluhu_hassan ambaye yeye Rais Uhuru anamuita "DADA YANGU SAMIA" Alimuambia 'Dada yake' Rais Samia apate tumaini kwa kupitia maneno ya biblia yaliyopo katika kitabu cha Yoshua 1:6-9. .Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa BWANA, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako."
 
Sio ujasiri.Nadhani wakati ulifika wakaendelea na ibada kama kawaida yao kwani ibada hapo ni kila kipindi kila siku.Hizi adhana ni ukumbusho wa ibada kwa watu walio karibu na ndio kitu cha msingi kuletwa duniani...
Mkuu, wasikusumbue hawa. Adhana ni muhimu kuliko hata hicho wanachokifikiri wao, msiba.
 
Bwana wewe ndo una mihemko kisa dini hadi washindwa tumia akili watumia hisia tu
Wewe ulipodharau imani za watu unaona ulitumia akili na sio hisia?

Ulidhani kucomment matapishi yako hapa ungechekewa sio?
acha kua unatafuta sifa za kijinga,halafu acha kuniita "Bwana" kiazi wewe.
 
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.

Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika kusubiri mpaka adhana ile iishe. Hii inaashiria nini wanabodi? Au alitulia tu kwa huzuni yake?
Sasa angeendelea wangemsikiaje? Hata ingekuwa ni sauti ya kitu kingine nafikiri angesitisha kwanza!
 
Namsifu sana, ana akili kubwa ya kutembea na fursa(kiki)
 
Back
Top Bottom