GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,013
Yes, kaheshimu dini ya kislam, serikali yetu haina uvumilivu kwa waislamu, uwamsho wako ndani kwa sababu tu wana mawazo tofauti na serikali, Shekh Ponda ana case tele mahakamani, Adhana ilikuwa ni ujumbe tosha kwa waislamu na wasio kuwa waislamu.
Kule South Africa wa Christian waliandamana ili Adhana isikike, kuna wahindu flani walienda court ili kuzuia Adhana isikike, Baada ya muda wananchi kujua, waliandamana, japo kuwa sio waislamu walisema pale wanapo sikia Adhana huhisi kuwa kuna Amani Eneo hilo.