Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Wewe mjinga nini hayo ni maoni yangu binafsi na mtazamo wangu hayahusiani na kudharau hata ingekuwa kanisani vile vile huwa sio busara watu wako kwa msiba unawasha ma speaker huoni ni distraction. Acheni ujinga wa dini na mtofautishe mtazamo mna mihemko as if wengine hatuna dini. Msinichoshe na Mambo yenu bwana ya kijinga kama hamjui mitazamo tofauti huyo ni Miungu gani mnamwamini mfyuuuu.Wewe ulipodharau imani za watu unaona ulitumia akili na sio hisia?
Ulidhani kucomment matapishi yako hapa ungechekewa sio?
acha kua unatafuta sifa za kijinga,halafu acha kuniita "Bwana" kiazi wewe.
Sasa hapo umepata somo gani zaidi ya ukiwa wahutubia kukitokea distraction una pose kidogo
Yani nifatilie mtu asiyenihusu Ili iweje sasa na comments kilichoandikwa humuNyie huwa hamtusumbui hata kidogo, kwenye malumbano ya hoja mnafeli, humu mnafeli. Hebu mfuatilie huyu Professor habib othman Mazinge YouTube
Ndio ilivo hata mitaani huwa tunaheshimiana kikawaida tu kwa common senseHilo somo halieleweki kwa wote rafiki, Kenyatta amefanya jambo la kiungwana.
Kwa watu wetu walivyo nisingeshangaa polisi/ vyombo vya usalama kukimbilia kwenye huo msikiti na kuwashurutisha kuzima spika ikiwezekana na kipigo juu.
Sikia shetani anakuzidi wewe kuanzia hekima mpaka akili. Una chochote ambacho unamzidi shetani.kwa hiyo kufanya ibada kwa shetani haiondoi utaribu wa Ibada za kidini. Nikwambie kitu hata makanisani wakati wa kusifu na kuabudu Kuna watu wanaona Ni sehemu ya kelele kwa hiyo tuache au tutumie hekima tusisifu sababu Kuna mtu anaona Ni kelele?. Na ndiyo Maana alichokifanya MH KENYATA kimekuwa Ni Heshima kubwa kwa kuheshimu Imani ya wengine na kiongozi mkubwa na yupo katika hotuba na akaheshimu adhana na ilipoisha adhana akaendelea. Wewe kwa alichokifanya Rais Kenyata umepungukiwa na nini kwa mfano?.Vingine nikutumie hekima, ibada hata mashetani wanafanya
Aisee!Yani nifatilie mtu asiyenihusu Ili iweje sasa na comments kilichoandikwa humu
Mwenyezi Mungu akubariki upate mume hivi karibuni...Wengine hawajui hzo imani pia na huyo mwadhini angetumia akili za kuvukia barabara na sio kupayuka misibani
Una tatizo upstairs ndio maana hata unachokiandika unajipinga wewe kwa wewe,IQ yako ni below normal na inaonekana maisha yamekupiga kisawa sawa mpaka umepoteza umakini,Wewe mjinga nini hayo ni maoni yangu binafsi na mtazamo wangu hayahusiani na kudharau hata ingekuwa kanisani vile vile huwa sio busara watu wako kwa msiba unawasha ma speaker huoni ni distraction. Acheni ujinga wa dini na mtofautishe mtazamo mna mihemko as if wengine hatuna dini. Msinichoshe na Mambo yenu bwana ya kijinga kama hamjui mitazamo tofauti huyo ni Miungu gani mnamwamini mfyuuuu.
Tena wote mnaoleta mihemko yenu nawaweka ignore list mfyuuuu.
Mama yako alivopata mume inatosha kabisa wengine tutaendelea kudunda tuMwenyezi Mungu akubariki upate mume hivi karibuni...
Unajichosha tu na huyo shetani wako Baki naye sihitaji maelezo mimiSikia shetani anakuzidi wewe kuanzia hekima mpaka akili. Una chochote ambacho unamzidi shetani.kwa hiyo kufanya ibada kwa shetani haiondoi utaribu wa Ibada za kidini. Nikwambie kitu hata makanisani wakati wa kusifu na kuabudu Kuna watu wanaona Ni sehemu ya kelele kwa hiyo tuache au tutumie hekima tusisifu sababu Kuna mtu anaona Ni kelele?. Na ndiyo Maana alichokifanya MH KENYATA kimekuwa Ni Heshima kubwa kwa kuheshimu Imani ya wengine na kiongozi mkubwa na yupo katika hotuba na akaheshimu adhana na ilipoisha adhana akaendelea. Wewe kwa alichokifanya Rais Kenyata umepungukiwa na nini kwa mfano?.
Kaungane na afande sele.Nyie watu mumevuta bangi za dini mbona mnaandika vitu havieleweki, msinivhoshe na imani zenu,sija force mtu aamini tofauti na mimi
Umeanza kuhamisha magoli wakati ndio kwanza mechi imeanza? hapo kwenye red labda ni kiingereza chako wewe peke yako uliyechanganyikiwa.Mbona hapo ni kiswahili nimeandika una makengeza ya ubongo wewe
Wewe mjinga nini hayo ni maoni yangu binafsi na mtazamo wangu hayahusiani na kudharau hata ingekuwa kanisani vile vile huwa sio busara watu wako kwa msiba unawasha ma speaker huoni ni distraction. Acheni ujinga wa dini na mtofautishe mtazamo mna mihemko as if wengine hatuna dini. Msinichoshe na Mambo yenu bwana ya kijinga kama hamjui mitazamo tofauti huyo ni Miungu gani mnamwamini mfyuuuu.
Tena wote mnaoleta mihemko yenu nawaweka ignore list mfyuuuu.
Wewe ndo uanze nadose wanaume wenzako wanapeleka vyombo nje ya sayari yetu wewe kidume unajifanya na uchungu na dini kuliko walioiletaUna tatizo upstairs ndio maana hata unachokiandika unajipinga wewe kwa wewe,IQ yako ni below normal na inaonekana maisha yamekupiga kisawa sawa mpaka umepoteza umakini,
Sasa unatakiwa utulie hivyo hivyo ili niendelee na dozi,matibabu ndio kwanza yameanza.
Kumbe unataka ligi katafte size yako Mimi hushindana na wanawake wenzanguUmeanza kuhamisha magoli wakati ndio kwanza mechi imeanza? hapo kwenye red labda ni kiingereza chako wewe peke yako uliyechanganyikiwa.
Sawa Msubhati....Nialike Jumamosi moja tuje tusali pamoja basi.Mama yako alivopata mume inatosha kabisa wengine tutaendelea kudunda tu
Mimi huwa silali kabisa vizuri utafte wa Imani yakoSawa Msubhati....Nialike Jumamosi moja tuje tusali pamoja basi.