The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Aiseee huo msikiti una majasir sn duh kwa hali ilivyo Dodoma upige adhana saiz mmmh
Kila kitu kina nafasi yake mkuu, ibada/ swala ni jambo la muda mfupi tu. Hawakuona sababu ya kuahirisha kutimiza wajibu wa imani yao kwa woga/ hofu za kuogopa binadam amvao kimsingi wote tutakufa kila mmoja wetu kwa wakati wake siku ikifika.
Ibada jambo la kheri.