Kongole sana Peter Msechu

Jamaa ana vocal moja matata Sana , hata barnaba anakaa Kwa vocal la mshikaji , kuna wimbo amepiga remix ya Ottu jaz band ule unaitwa Tanzania Yetu nchi ya furaha ..jamaa kaua Sana mle ...sema daah jamaa ana bonge la Obesity
 
Mkuu hii picha uliyoweka ni ya zamani sana picha yake ya jana akiwa msibani hii hapa..
[emoji1][emoji1][emoji1] obesity at its best. Management yake wamshauri apunguze uzito.
 
Jamaa ana vocal moja matata Sana , hata barnaba anakaa Kwa vocal la mshikaji , kuna wimbo amepiga remix ya Ottu jaz band ule unaitwa Tanzania Yetu nchi ya furaha ..jamaa kaua Sana mle ...sema daah jamaa ana bonge la Obesity
Jamaa anajua, tatizo tumbo.
 
Msechu ni kipaji halisi
Aliwahi kuwa mshindi wa tatu kule tusker project fame Kenya akiwa na hemed .halafu msechu anajichukulia powa ndo shida yake
Anaweza akakaa kimya hata mwaka ila akija kutoa nyimbo ya aina yoyote ile huwa inakubalika sana ..
 
Jamaa anajua na kama nakumbuka fresh ndio mtanzania pekee aliyewahi kufika mbali kwenye hayo mashindano, maana aliingia kwenye danger zone mara moja tu na akaokolewa na kura za vocal coaches

Ila ndio hivyo, kipaji na kupata mafanikio ni vitu viwili tofauti haswa siku hizi ambapo watu wanauza kiki na nyimbo zitakazotrend
 
Mkuu hii picha uliyoweka ni ya zamani sana picha yake ya jana akiwa msibani hii hapa..
Huu mtihani wa kutafuta ujazo kipenyo mara mzingo kutumia pai 3.14... 😱
Amekula maharage ya wapi🤔

Huo siyo unene, avae tu barakoa ikibidi 2, na ajifukize na ashindie malimao na tangawizi na juice ya pilipili kichaa aisee!
Covid ikiingia hachomoki!

Everyday is Saturday................................😎
 
Umemaliza kila kitu thread ilitakiwa iishie hapa.
 
Brother huwa najua unajua muziki na huwa tunaenda sambamba kabisa bravo
 
HUYU NDIYE MWANAMUSIC, WALE NI WASANII.
NA WENGINE NI MASONIC
 
Wakuu Habarini

Katika pitapita zangu nimekutana na moja ya comment zikimpa kongole Peter Msechu kwa nyimbo zake katika kipindi hiki cha msiba wa Taifa, nami nimeamua kuleta hapa kama maoni ya mdau yalivyokuwa.

Yanasema hivi: wasanii wa Tanzania nimegundua kumbe hamna uwezo kabisa, yani mmeshindwa kutunga nyimbo nzuri zenye hisia kuhusiana na msiba wa JPM?

Angalao Peter Msechu kidogo ila wengine kelele tu na kuvaa mavazi meusi, mnachoweza kuimba ni kusifia tu ngono... Kumbukeni enzi zile za Hayati J.K. Nyerere bado teknolojia ilikuwa chini sana lakini wasanii wa kipindi kile kama Hayati Capt. John Komba aliimba nyimbo zinazoishi hadi kesho pamoja na kwamba alikuwa na umri mkubwa lakini kipaji kilionekana kwake.

Ila ninyi na teknolojia iliyo juu bado mnapiga makelele studio, mmelemazwa na mashairi ya mapenzi. Kongole kwako #Peter Msechu pamoja na kwamba una unene wa hali ya juu yani wa kiwango cha lami ila inadhihirisha hata akili yako ni nene (kubwa)[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji1241]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…