Kongole sana Peter Msechu

We ndo huyo peter mchechu mwenyewe? Unahusika na nini? Unatakiwa uwe mvumilivu ili uje usifiwe.unataka teuzi?sasa kila mtu akilia sana kwenye msiba akipewa cheo si itafikia hatua itakuwa changamoto we mchechu?
 
Watu wamemaind kuona anasifiwa Msechu huku mastaa wao wamepotezewa kwa kupuyanga!!.
Hahaha..hakika

Penye ukweli lazima tuseme ukweli,kupongeza lazima tupongeze.

Siku zote kumpongeza mmoja wapo wa kundi ni kumotivate wengine wafanye juhudi zaidi na sio chuki.
 
Peter Msechu anacopy nyimbo tu ,hata huo wimbo unaopewa promo amecopy melody ya mdada mmoja hivi unaimbwa "ehe khuma khuma khumamaeee"
 
yes ile nyimbo ya msechu naikubali..!! ila hawa wengine sikujua wanaimba ishu gani..!! ila ya msechu ni iko vizur aiseeh kajitahidi sana
Hakika Mkuu,wengine wanadhani kumsifia mtu ni kuweka chuki..ni kuhamasisha wengine kujitahidi zaidi
 
We ndo huyo peter mchechu mwenyewe? Unahusika na nini? Unatakiwa uwe mvumilivu ili uje usifiwe.unataka teuzi?sasa kila mtu akilia sana kwenye msiba akipewa cheo si itafikia hatua itakuwa changamoto we mchechu?
Matatizo la kuwa na akili ndogo ndo haya...kapumzike
 
Ila ngoma ya Msechu ya maombolezo ya msiba inaleta hisia sana.

Japo mimi sikukubali trait za utawala husika katika nyanja wa ajira wimbo huu unanitoa machozi.
 
Ameimba vizuri..wimbo pia pamoja na kuomboleza pia unaleta faraja na matumaini ya kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…