Wewe ndio natakiwa nikupe pole...hoja hujibiwa kwa hoja..ugoro hujibiwa kwa ugoroPole ndugu yangu. Kugundua kuwa una akili ndogo ni mwanzo wa kuanza kupata solution. Jaribu kuwa unajisomea somea usikate tamaa pia. Pole sana.
HakikaAmeimba vizuri..wimbo pia pamoja na kuomboleza pia unaleta faraja na matumaini ya kusonga mbele.
Nimeupata ni ule wa ...Peter Msechu anacopy nyimbo tu ,hata huo wimbo unaopewa promo amecopy melody ya mdada mmoja hivi unaimbwa "ehe khuma khuma khumamaeee"
Niko pamoja na ww.Ila ngoma ya Msechu ya maombolezo ya msiba inaleta hisia sana.
Japo mimi sikukubali trait za utawala husika katika nyanja wa ajira wimbo huu unanitoa machozi.
Aslay pia kaimba kwa hisia sana na kaeleweka.Kasikilize wimbo wa kala
Nakubaliana na wewe hii beat ina hisia kali sana, na kiukweli Msechu ameitendea haki kabisaaa kwa ile sauti yake.ilee beat ya ekuwene huwa inahisia kali sana. biti inaupako na msechu kaitendea haki.
Hahahaa ndio huo huo Ekumamae.Nimeupata ni ule wa ...
Ekuemee Ekuemee...your the living God oooh,Eze no one like you
Ule wimbo una hisia vibaya mno..sijui jamaa alifikiria nini
Alafu❌Wewe ndio natakiwa nikupe pole...hoja hujibiwa kwa hoja..ugoro hujibiwa kwa ugoro
Mbona kamanda hapo juu amejibu kwa hoja nikamuelewa.
Alafu suala la kujisomea somea unatakiwa uanze wewe...mimi nimeshakuwa mkongwe huko, na nimefahamu mengi + inteligence usiyo iweza au kuifahamu..sijisifii ila nimeamua kukupa mwanga ili kama unataka kuendeleza mtanange huu,huko mbeleni ujue unabatle na mtu wa aina ipi.
Shukrani
😆😆Peter msechu lazima atunge wimbo mzuri wa hisia, ukizingatia kitambi kimemtoka wakati wa marehemu.
Mkuu nilisahau, Huyo dogo nae ametisha sanaAslay pia kaimba kwa hisia sana na kaeleweka.
Ni huu hapa ama kuna mwingine?Huu wa Msechu kesho nitautafuta maana naona kila mtu anausifia.