Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya polisi kwenye uwanja mgumu/
Kacheza mechi 3 ndani ya siku 7 ni hatari, ktk kipindi ambacho yanga alitegewa odondoshe point ni kwenye hizi mechi 2 za arusha lakini katoboa zote, kinachowabeba yanga ni quality ya kikosi walichonacho na si vinginevyo, mechi ya Polisi pamoja na refa kubet lakini mkeka wake ulichanika baada ya point zote 3 kuchukuliwa.
Kwa maana iyo yanga kwa namna walivyo msimu huu ni ngumu Sana kuwazuia kupata point kwenye uwanja wowote ule.
Ingekuwa ni simba ndo imepangiwa ratiba iyo wangekuwa washadondosha point ktk hizi mechi 2 za ugenini, kongole kwao gsm kwa usajili makini, akitoka mtu anaingia mtu🙌🙌🙌🙌