City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Sasa kama Rivers United ndiyo ya mchezaji kama OKWA ambaye kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, sikumbuki kama aligusa hata mpira kwa dakika zote alizocheza, ndiyo ya kuitishia timu kama Yanga kweli!
Timu inayopasua kila kilichopo mbele yake!! Ngoja hayo mashindano ya kimataifa yaanze, halafu tuone mtakavyo jisikia aibu wakati hao mnao wasifia watakapoanza kupasuliwa na wananchi kwenye mechi za nyumbani na ugenini.
Natabiri simba atatoka mapema yanga atapita makundi mpaka quarter