City Rider
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 402
- 1,212
Sasa kama Rivers United ndiyo ya mchezaji kama OKWA ambaye kwenye mechi ya Ngao ya Jamii, sikumbuki kama aligusa hata mpira kwa dakika zote alizocheza, ndiyo ya kuitishia timu kama Yanga kweli!
Timu inayopasua kila kilichopo mbele yake!! Ngoja hayo mashindano ya kimataifa yaanze, halafu tuone mtakavyo jisikia aibu wakati hao mnao wasifia watakapoanza kupasuliwa na wananchi kwenye mechi za nyumbani na ugenini.
Kamati ya roho mbayaView attachment 2330202
Umeulizwa ,Stage gani mmefika hatujawahi kufika? Ambayo ni mpya kwetu ipi?
Umekaa maeneo gani ili nisipate tabu kukutafuta?Akikujibu nishtue
Kumbe na bishana na mwanfunzi wa shule unaniuliza mimi swali hlo kweli umedandia fani ww huna unalolijuaStage gani mmefika hatujawahi kufika? Ambayo ni mpya kwetu ipi?
Uzi uishie hapaMsimu huu Yanga wanabeba ubingwa mwanzoni mwa raundi ya pili
Vipers 2 – 0 yangaUyo rivers unaemsema wapelekwe ata usiku wa manane pale kwa mkapa wakacheze na yanga hii habari yako utaipata, walifanikiwa kuifunga yanga kwa mbinde kagoli kamoja nyumbani na kagoli kamoja ugenini timu ikiwa haijapata muunganiko na ikiwa inawakosa baadhi ya key prayers kama mayele,bangala,djuma shaban, vipi sasa hivi timu iko on fire imekamilika kila idara hao rivers wako watapigwa mpaka watachakaa