Kontena la maiti za wanajeshi wa Israel kutoka Gaza

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS.

Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
 
Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
 
Kwahyo nduli angeachiwa tu bukoba?
 
Kwahyo nduli angeachiwa tu bukoba?
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
 
Miaka zaidi ya 40 Bado tunasingizia vita vya Uganda!
 
Yes.
Akili za wananchi na viongozi wetu si unazijua.
Kuanzisha mindset mpya au hata kubuni wazo jipya hatuwezi.
Ukiona kitu kipya hicho si kipya, ni kiongozi amekopi huko Ulaya alivyokwenda kula bata.
Baada ya vita ile viwanda vya ndani vingi ambavyo vilikuwa vya serikali vikayumba na baadaye kufa kabisa.
Tangu hapo hakuna kiwanda kipya kikubwa serikali ilianzisha na kikastawi mpaka leo
 
Wakiristo wa jf wanapropaganda . Wayahudi wanuawa hatari.
Wakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS.

View attachment 2809366

Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
View attachment 2809368
F
 
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Acha ujinga wewe, Vietnam gani mliisogelea kimaendeleo? Hii Vietnam iliyipigana vita na mmarekani hadi akakimbia? Kupigana vita na Uganda ndo ujiliganishe na Vietnam? Unaiona Uganda sawa na marekani?
 
Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
uafadhari uko wapi, leo unaishi kwa amani ikiwa n matunda ya juhudi za J.K
 
Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
Na baba yako aliekulea ni mshenzi sana,kwa nn hakukufundisha kuwa na hekima na busara?
 
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Wewe pimbi mbona bado na wewe unanuka umaskini?,umeshindwa hata kuisaidia familia yako, kutwa kucha una tangatanga na kuzulula.
 
Kwani kwenye vita askari hawafi? Hata kama Jeshi Bora Dunia likivamia nchi yoyote hata kama nchi hiyo ni masikini vifo na majeruhi lazima vitokee pande zote
Israel ni mdobwedo km anapigana na "kikundi tu Cha kigaidi" na pamoja msaada wa mabwana zao Marekani hivi anaweza simama na Iran nikweli nguvu za Israel ni zakufikirika Zaid au ni za kutengenezwa tu LGBTQ hawana Marinda wanaume wanafanya yao
 
Back
Top Bottom