Kontena la maiti za wanajeshi wa Israel kutoka Gaza

Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Ukiendelea kulalamika lalamika kibwege hivyo kuna kitu utakipata ,fanya kazi wewe miaka hii bado unalaumu vita ya kagera si upumbavu huo umekujaa utakufa njaa hapo useme sababu ya vita we mbona aibu sana wewe
 
Allah amrehemu idi amiin
 
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Akili zako unazijua mwenyewe
 
Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana

Uharo wako unanuka hata baada ya kujitawadha na makaratasi!
 
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.

Ndiyo ukome hapo maana wewe hata akili ya panzi inakuwa bora kuliko unachoropoka hapa! Kama Amin alikuwa ndugu yako basi alikomeshwa kisawasawa hadi jeshi lake likasambaratika lote!
 
Mlisema hawafi. Hawa sio wanakufa bali wanateketea

Na upande ule wa magaidi wa Hamas si ndiyo wamepukutika wote na mji kubaki vifusi vya matofali na mabati! Akifa Muisraeli mmoja ujue mia moja ni hamas watakuwa wamepukutika! Kama wana ubavu wa kupigana na Israel si wangeingia na wao kule Tel Aviv au Jerusalemu? Mbona wamejificha kwenye mashimo kama alivyokuwa amejificha Sadam Hussein!
 
Kafiri unashida sana wewe
 
Israel ni mdobwedo km anapigana na "kikundi tu Cha kigaidi" na pamoja msaada wa mabwana zao Marekani hivi anaweza simama na Iran nikweli nguvu za Israel ni zakufikirika Zaid au ni za kutengenezwa tu LGBTQ hawana Marinda wanaume wanafanya yao

Sasa huyo Iran anaogopa nini kuingia Israel wakati ndugu zake wanazidi kupukutika kama nzige na hawana pa kuishi tena?
 
Unashangaa askari kufika vitani? Kikubwa ni kwamba Hamas wakishambulia IDF maana yake ni kwamba wameshaji expose hivyo shambulizi lao moja linaondoka na Hamas wote.
 
Unashangaa askari kufika vitani? Kikubwa ni kwamba Hamas wakishambulia IDF maana yake ni kwamba wameshaji expose hivyo shambulizi lao moja linaondoka na Hamas wote.
 
Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
𝐒𝐡𝐢𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐚𝐫𝐢𝐫𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐡𝐢𝐢, 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 𝐧𝐝𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚?
 
Yes.
Akili za wananchi na viongozi wetu si unazijua.
Kuanzisha mindset mpya au hata kubuni wazo jipya hatuwezi.
Ukiona kitu kipya hicho si kipya, ni kiongozi amekopi huko Ulaya alivyokwenda kula bata.
Baada ya vita ile viwanda vya ndani vingi ambavyo vilikuwa vya serikali vikayumba na baadaye kufa kabisa.
Tangu hapo hakuna kiwanda kipya kikubwa serikali ilianzisha na kikastawi mpaka leo
Sio vita labda ungesema uongozi ndio tatizo
 
Back
Top Bottom