Kwahyo nduli angeachiwa tu bukoba?Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
Stori za uongo zinawahadaa watu.Kwahyo nduli angeachiwa tu bukoba?
Huyo ni kilazaKwahyo nduli angeachiwa tu bukoba?
Miaka zaidi ya 40 Bado tunasingizia vita vya Uganda!Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Yes.Miaka zaidi ya 40 Bado tunasingizia vita vya Uganda!
FWakati vita ya Israel dhidi ya kikundi cha HAMAS ikiendelea kwa Israel kupiga mabomu watoto na wanawake,tazama sehemu ya maiti za wanajeshi wa Israel ambao wameuawa na HAMAS.
View attachment 2809366
Wana mgambo wa HAMAS wapo Gaza wakiendelea kupambana na wanajeshi wanaotumia deraya.
View attachment 2809368
Mlisema hawafi. Hawa sio wanakufa bali wanateketeaKwani kwenye vita askari hawafi? Hata kama Jeshi Bora Dunia likivamia nchi yoyote hata kama nchi hiyo ni masikini vifo na majeruhi lazima vitokee pande zote
Acha ujinga wewe, Vietnam gani mliisogelea kimaendeleo? Hii Vietnam iliyipigana vita na mmarekani hadi akakimbia? Kupigana vita na Uganda ndo ujiliganishe na Vietnam? Unaiona Uganda sawa na marekani?Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
uafadhari uko wapi, leo unaishi kwa amani ikiwa n matunda ya juhudi za J.KAfadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
Wakiristo wa jf wanapropaganda . Wayahudi wanuawa hatari.
F
Na baba yako aliekulea ni mshenzi sana,kwa nn hakukufundisha kuwa na hekima na busara?Afadhali hawa .
Kwanza ni wachache sana
Pili, wana wa Yakobo wamejianga hata maiti zao zimebebwa na container maalumu lenye kiyoyozi.
Ndugu zako Watanzania waliotiwa ujinga na Nyerere kupigana vita isiyo na kichwa wala mkia walirudishwa na maloori makubwa wamepangwa kama kuni wakitoa harufu kama panya aliyekufa.
Nyerere mshenzi sana
Wewe pimbi mbona bado na wewe unanuka umaskini?,umeshindwa hata kuisaidia familia yako, kutwa kucha una tangatanga na kuzulula.Stori za uongo zinawahadaa watu.
Nyerere alimpigania best yake Obote na si vingine.
Vita ile ndiyo iliyoleta ufukara Tanzania na ilibadili mfumo mzima wa maisha ya Watanzania.
Kabla ya vita tulikuwa tukiwasogelea wa Vietnam kimaendeleo.
Baada vita nchi haijatulia mpaka kesho.
Huduma za afya, elimu na baadhi ya huduma muhimu zilikuwa bure lakini Sasa kama huna pesa ukipatwa na ajali kubwa au ugonjwa mkubwa ujue mauti iko miguuni mwako.
Israel ni mdobwedo km anapigana na "kikundi tu Cha kigaidi" na pamoja msaada wa mabwana zao Marekani hivi anaweza simama na Iran nikweli nguvu za Israel ni zakufikirika Zaid au ni za kutengenezwa tu LGBTQ hawana Marinda wanaume wanafanya yaoKwani kwenye vita askari hawafi? Hata kama Jeshi Bora Dunia likivamia nchi yoyote hata kama nchi hiyo ni masikini vifo na majeruhi lazima vitokee pande zote
Wewe usie na mafunzo ya kijeshi unaongeaHiyo vita haitakwisha