Kontena lililokuwa na vifaa vya msaada vya Bunge la Kenya kutoka China lafunguliwa na kukutwa tupu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
China iliahidi kuipatia Kenya vifaa mbalimbali vya Ofisini kama sehemu ya kuboresha urafiki wao. Ubalozi wa China nchini Kenya ulipewa taarifa kuwa vifaa hivyo vimetumwa kwa meli na vitawasili Julai 2019

Lakini katika hali isiyo ya kawaida Ubalozi wa China umeonesha kushangazwa baada ya kutaarifiwa na Bunge kuwa kontena lilipofika Bungeni Julai 30, 2019 na kufunguliwa lilikuwa halina kitu chochote ndani(tupu)

Ubalozi huo umebainisha kuwa hii na mara ya kwanza kwa kitendo kama hicho kutokea kwani kwa miaka kadhaa wamekuwa wakiwasaidia Wakenya vitu mbalimbali na vyote vimekuwa vikifika salama

Kutoka na suala hilo, Bunge limeitaarifu Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na China inaamini kuwa litashughulikiwa na vifaa hivyo kupatikana bila wasi wasi huku wakisisitiza kuwa wataendelea kuisaidia Kenya

D07D040F-2201-4309-BBB4-FF1F86A4CC18.jpeg
37C6F41D-174D-4F4C-9751-B56D01339BD3.jpeg
6B9BD9A5-3E93-4D93-A115-4C0FA5FD5EAD.jpeg
 
China iliahidi kuipatia Kenya vifaa mbalimbali vya Ofisini kama sehemu ya kuboresha urafiki wao. Ubalozi wa China nchini Kenya ulipewa taarifa kuwa vifaa hivyo vimetumwa kwa meli na vitawasili Julai 2019

Lakini katika hali isiyo ya kawaida Ubalozi wa China umeonesha kushangazwa baada ya kutaarifiwa na Bunge kuwa kontena lilipofika Bungeni Julai 30, 2019 na kufunguliwa lilikuwa halina kitu chochote ndani(tupu)

Ubalozi huo umebainisha kuwa hii na mara ya kwanza kwa kitendo kama hicho kutokea kwani kwa miaka kadhaa wamekuwa wakiwasaidia Wakenya vitu mbalimbali na vyote vimekuwa vikifika salama

Kutoka na suala hilo, Bunge limeitaarifu Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na China inaamini kuwa litashughulikiwa na vifaa hivyo kupatikana bila wasi wasi huku wakisisitiza kuwa wataendelea kuisaidia Kenya

View attachment 1168945View attachment 1168946View attachment 1168947

Hao wachina watwaamini wakenya au watesema ni wakor.
Hivi katika hali kama hii, mimi nilitegemea huyo balozi wa chini nchini kenya ndiye alipaswa akabidhi hilo konteni, na lifunguliwe akiwepo. Kama hiyo hali ni kweli, basi kuna mabo matatu:

1: Kontena lilibadilishwa. Walikosea wakatoa konteni tofauti na lilikuwa limeandaliwa.
2: Wajanja walicheza dili
3: China imeichoka kenya hivyo huo ni ujumbe kwao
 
Namba mbili ndio jibu sahihi

hahahaha nilikuwa naisoma iyo habari imeshitusha kidogo inakuwaje LDC mnapokea misaada ya meza na viti ? na ss inakuwaje mnakwiba ivyo vitu ? hapo mnaitia doa bandari yenu
 
Au ndiyo ndiyo kinga ya kibunge? Inamaana haya scanner haliruhusiwi kuscan mizigo ya bunge? Siamini kama mzigo umepita bandarini KRA, ilishindwa kukagua na mamlaka ya bandari ikapokea documents zinazohusu mizingo husika arafu kontena liwe empty? Inawezekana vipi?
 
Lazima vimeibiwa ndani ya ardhi ya Kenya.

Hao jamaa ni zaidi ya nzige.
 
Hivi kumbe middle income wanapewa misaada na venye huwa wanajitapa humu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao wachina watwaamini wakenya au watesema ni wakor.
Hivi katika hali kama hii, mimi nilitegemea huyo balozi wa chini nchini kenya ndiye alipaswa akabidhi hilo konteni, na lifunguliwe akiwepo. Kama hiyo hali ni kweli, basi kuna mabo matatu:

1: Kontena lilibadilishwa. Walikosea wakatoa konteni tofauti na lilikuwa limeandaliwa.
2: Wajanja walicheza dili
3: China imeichoka kenya hivyo huo ni ujumbe kwao
Ni namba tatu, wamewachoka majamaa, wanasema kwanza tunawadai hela mingi, embu watumieni ujumbe indirectly.
 
MK254 mnaomba omba sana hadi wamewachoka wakaona wawape ujumbe mahususi msiwe omba omba na bado hamjaelewa mmerudia tena kuomba!
 
Hyo watoto wa mjini wanasema Kenya wamepigwa katoo
 
Back
Top Bottom