Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani?
Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.