Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

Mbona madukani na kwenye Masuper market zipo sana Mkuu?

Zina ladha nzuri kweli, ila shida ni tu alcohol twake wameweka tuchache sana. Nadhani 15% tu. Hata ukinywa nne hamna kitu unasikia..
 
Ila kwenye pub zetu hz hazipo
 
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Acha kwenda glossary nenda Bar 😎😎😎
 
Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
Msaada tutani.
 
Back
Top Bottom