Nenda na ndimu yako mkuu mia tuHivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
[emoji3] Kwahio Konyagi ni gongo au sio
Sa si unataka different taste?. Konyagi ukiipiga ndimu unaimwagia juu ya mishkaki alafu unapiga na juisi ya chachandu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We boya mi nataka ninywe hio fusion nione imekaaje
Itakuwa hivyo aisee! Wachina wamekasirika hapa wanatukana kwa kishirazHio bidhaa ina maana imetangazwa kabla ya kuzalishwa ama inakuaje?