Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

Mbona madukani na kwenye Masuper market zipo sana Mkuu?

Zina ladha nzuri kweli, ila shida ni tu alcohol twake wameweka tuchache sana. Nadhani 15% tu. Hata ukinywa nne hamna kitu unasikia..
 
Mbona madukani na kwenye Masuper market zipo sana Mkuu?

Zina ladha nzuri kweli, ila shida ni tu alcohol twake wameweka tuchache sana. Nadhani 15% tu. Hata ukinywa nne hamna kitu unasikia..
Ila kwenye pub zetu hz hazipo
 
Acha kwenda glossary nenda Bar 😎😎😎
 
Msaada tutani.
 
Mzee nimepita Mbagala mitaa flani mida hii nimeziona zimetundikwa Counter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…