Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Ina maana Urusi imezidiwa sana au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona warusi wa jf wanaibrand urusi kama one man army 😯Ni kama USA tu bila washirika wake UK ufaransa
ujerumani na vibaraka wake
Wavaa makubaz na vipedo bhana....kwamba kiduku kuingilia ni kuwalenga nato 😃😃😃😃Urusi kapiga hesabu za mbali hapo anawalenga Nato.
Russia ilirudi nyuma kuepusha vita, lakini US leo hataki kuacha kujihusisha.....ilipotaka.... Russia nayo ingeishia kwenye kutaka kama us, ingekuwa vyema sana.
msemaji mwandamizi wa nato kutoka GAIRO MOROGOROWavaa makubaz na vipedo bhana....kwamba kiduku kuingilia ni kuwalenga nato 😃😃😃😃
Halafu ninakukumbusha tu Russia 🇷🇺 si wavaa kubaz ni wakristo wa orthodox ambao nyie huwaita makafiri
Nakukumbusha tu kiduku huko kwao si wavaa makubazi hiyo dini huko haipo kbs so nao mbawaita makafiri.
Nakukumbusha saudi 🇸🇦 kuna kambi ya jeshi la marekani.
Nakukumbusha kiduku hana ubavu hata wa kuzchapa na korea kusini.
Heading umeandika Korea ya kaskazini imesema, hapa tena unasema US claims...US claims North Korea will send troops to fight in Ukraine for Russia.
In case of any future war, Russia will send troops to fight for North Korea as well.
—Politico
Urusi ndo wa kuomba jeshi kusaidiwa kupigana na ka nchi ka Ukraine?
Alikuwa na mkwara sana,unakumbuka alipata alama za chini Maths Mwl akataka kumtandika darasa zima tukagoma hadi adhabu ikaondolewa.Kim Jong classmate wangu huyo, toka tupo kindergarten akisema kitu harudi nyuma.
Lakini hii vita kwanini Zelensky as resign akubali tu..
Wanaukumbi.
🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi.
Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa saini, Korea Kaskazini ilitangaza mipango ya kutuma kitengo cha kijeshi cha uhandisi kusaidia vikosi vya Urusi katika mkoa wa Donetsk nchini Ukraine, huku kukitarajiwa kutumwa ndani ya mwezi ujao.
Haya yanajiri kufuatia mkutano wa hivi majuzi kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un huko Pyongyang, kuashiria ziara ya kwanza ya Putin nchini Korea Kaskazini katika takriban miaka 25. Makubaliano hayo ya kijeshi yanaeleza kuwa iwapo nchi yoyote itavamiwa, nchi nyingine lazima itoe msaada wa kijeshi na msaada mwingine.
Korea Kaskazini tayari imekuwa msambazaji mkubwa wa misaada ya kijeshi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na risasi za kivita, roketi, na makombora yanayodaiwa kuwa ya balistiki, tangu mkutano wa viongozi hao nchini Urusi Septemba mwaka jana.
Pentagon imeelezea mashaka juu ya kutumwa kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini, na kupendekeza kuwa wanaweza kuwa "kulisha kwa mizinga" katika mzozo huo. Marekani inafuatilia kwa karibu uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya Urusi na Korea Kaskazini.
Wachambuzi wengine wanaamini kuwa Korea Kaskazini inatumika kama daraja la kimkakati kati ya Urusi na Uchina, kuwezesha uhamishaji wa zana za kijeshi kutoka China hadi Urusi bila kukiuka vikwazo vya Magharibi. Jukumu la Korea Kaskazini katika ushirikiano huu linaonekana kuwa la manufaa ya kifedha na kijeshi.
Baraza la Usalama la Taifa la Marekani limeukosoa muungano unaoundwa na Urusi, Korea Kaskazini, Iran na Syria, na kuutofautisha na uungaji mkono mpana wa kimataifa kwa Ukraine na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
View: https://x.com/bricsinfo/status/1805969506990219268?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
hv NATO wakitua hapo Urusi atachomoka kwel ? tumia akili acha story za vijiweni au hukuona bomu lilipotua Poland , Urus iliwai kujiteteaAcha kuwa na IQ ndogo sana, Ukraine pale sio kama Ukraine, kuna NATO na mercenaries kibao wa USA pale, so ni vita vya NATO vs Russia inside Ukraine, umeelewa? Hivyo Kim kumpa support Russia ni sawa kabisa, excellent…!!! Ni makubaliano halali ya nchi na nchi, kwani sisi Tanzania au Kenya unakuta wana majeshi DRC au Sudan ni makubaliano ya nchi kwa nchi, hivyo North Korea kupeleka jeshi Ukraine sio jambo la ajabu..!!
cc. Biden..!!
Wanaukumbi.
🇰🇵 🇷🇺 Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi.
Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu cha usaidizi wa kijeshi wa pande zote katika tukio la vita. Muda mfupi baada ya mkataba huo kutiwa saini, Korea Kaskazini ilitangaza mipango ya kutuma kitengo cha kijeshi cha uhandisi kusaidia vikosi vya Urusi katika mkoa wa Donetsk nchini Ukraine, huku kukitarajiwa kutumwa ndani ya mwezi ujao.
Haya yanajiri kufuatia mkutano wa hivi majuzi kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un huko Pyongyang, kuashiria ziara ya kwanza ya Putin nchini Korea Kaskazini katika takriban miaka 25. Makubaliano hayo ya kijeshi yanaeleza kuwa iwapo nchi yoyote itavamiwa, nchi nyingine lazima itoe msaada wa kijeshi na msaada mwingine.
Korea Kaskazini tayari imekuwa msambazaji mkubwa wa misaada ya kijeshi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na risasi za kivita, roketi, na makombora yanayodaiwa kuwa ya balistiki, tangu mkutano wa viongozi hao nchini Urusi Septemba mwaka jana.
Pentagon imeelezea mashaka juu ya kutumwa kwa wanajeshi wa Korea Kaskazini, na kupendekeza kuwa wanaweza kuwa "kulisha kwa mizinga" katika mzozo huo. Marekani inafuatilia kwa karibu uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya Urusi na Korea Kaskazini.
Wachambuzi wengine wanaamini kuwa Korea Kaskazini inatumika kama daraja la kimkakati kati ya Urusi na Uchina, kuwezesha uhamishaji wa zana za kijeshi kutoka China hadi Urusi bila kukiuka vikwazo vya Magharibi. Jukumu la Korea Kaskazini katika ushirikiano huu linaonekana kuwa la manufaa ya kifedha na kijeshi.
Baraza la Usalama la Taifa la Marekani limeukosoa muungano unaoundwa na Urusi, Korea Kaskazini, Iran na Syria, na kuutofautisha na uungaji mkono mpana wa kimataifa kwa Ukraine na kanuni za Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
View: https://x.com/bricsinfo/status/1805969506990219268?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Vita Iko kwenye stalemate.Ina maana Urusi imezidiwa sana au?
🤣 🤣 🤣 🤣Alikuwa na mkwara sana,unakumbuka alipata alama za chini Maths Mwl akataka kumtandika darasa zima tukagoma hadi adhabu ikaondolewa.
Uchumi kuachana nao kivip? Kwan wana njaa au umeona korea ni taifa omba ombaHuyu bwana mdogo akili zake amezielekeza kwenye majeshi na vita tu uchumi ameachana nao.
Huyu bwana mdogo bwana akili zake anazijua mwenyewe.
Izo medali naona mpk zitaekwa kwenye suruali