Hivi kwann huwa inakua hivyo?Akianza kuwafyeka urudi tena kutujulisha, harafu watu wenye roho mbaya kusilimu ni jambo la kawaida.
Video inayodai kuwa Kim Jong Un amesilimu ilichapishwa kwenye Dailymotion mnamo Februari 5, 2015. Hata hivyo, uchunguzi umebaini kuwa video hiyo ni ya kughushi (deepfake) na haionyeshi tukio halisi.Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.
Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.
Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.
Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:
View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj
Soma post ya 8, Muongo huyu bibiAsia kila nchi ina Mungu wake na dini yake.
Unataka Mungu wa North Korea aabudiwe na nani?.
Hayo mengine unayoyaona hapo ni propaganda na siasa za majitaka ili afanikishe jambo lake la siri tusilolifahamu.
Hata CR7 uliwahi tuletea bandiko humu ndani kuwa amesilimu, ila hakuna kitu kama hicho.
No reforms No Election
Ni dini ya shari Shari, ubaya ubwela.Hivi kwann huwa inakua hivyo?
Hahaha ujinga ni mzigo sana. Ulinifundisha mwenyewe.Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.
Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.
Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.
Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:
View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj
Kibibi leo kimeamka na mawenge.Hahaha ujinga ni mzigo sana. Ulinifundisha mwenyewe.
Leo kajikamatisha ππHahaha ujinga ni mzigo sana. Ulinifundisha mwenyewe.
Umewahi kuisoma sura ya ushindi? Ipitie japo kidogo:Hahaha ujinga ni mzigo sana. Ulinifundisha mwenyewe.
Najuwa wengi ushindi huu unawauma sana. Siwashangai.Asia kila nchi ina Mungu wake na dini yake.
Unataka Mungu wa North Korea aabudiwe na nani?.
Hayo mengine unayoyaona hapo ni propaganda na siasa za majitaka ili afanikishe jambo lake la siri tusilolifahamu.
Hata CR7 uliwahi tuletea bandiko humu ndani kuwa amesilimu, ila hakuna kitu kama hicho.
No reforms No Election
Allah ni myth tu, kashindwa kumlinda Agather dhidi ya madhalimu.Umewahi kuisoma sura ya ushindi? Ipitie japo kidogo:
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 1
2. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 2
3. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3