Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Nasikia na Trump ameslimu baada ya kwenda Qatar 🤣
1000036835.jpg
 
Mzee mwenzangu kibibi kikongwe Faiza naona hapa kwa kutumia kifaa changu una shida kubwa sana ya uongo uongo
1000438248.jpg
 
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.

Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.

Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.

Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:


View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj

Unasema uislamu ni dini ya amani!!!!!!!!!???????? Au nimesikia/ nimesoma vibaya.
 
Walokole mzigo kwa taifa!!!

Kiduku kubadilisha Dini au mwelekeo wake Badala kuchanganua hoja usika Badala yake
!! Anashutumiwa mleta Mada ¿¿¿
 
Jakwaaa ili wanataka wao tu walokole ndio walitumie kudanganya kondooo wao waliopotea ili wazidi kuwapoteza porini!!!!
 
Huyo jihadist ni muongo sana kwani kuna kipindi alizusha kwamba Cristiano Ronaldo ameslimu wakati habari yenyewe alitoka nayo masjid ubwabwa.

 
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.

Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.

Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.

Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:


View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj



Tuna mahangaiko mengi sana na hii Imani yetu. Kwa kukosa watu tunaanza hata kuwapandikiza wengine kwa propaganda chafu chefu.

Kufikia sasa, hakuna ushahidi wa kuaminika au taarifa rasmi inayothibitisha kuwa Kim Jong-un, kiongozi wa Korea Kaskazini, amesilimu au kujiunga na Uislamu. Ingawa kuna video kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, kama YouTube na TikTok, zinazodai kuwa amesilimu na hata kujenga misikiti nchini Korea Kaskazini, hakuna chanzo huru au cha kuaminika kilichothibitisha madai haya. Video hizi mara nyingi hazina uthibitisho wa moja kwa moja na zinaweza kuwa sehemu ya kampeni za kidini au uvumi wa mtandaoni .

Korea Kaskazini ni taifa linalojulikana kwa udhibiti mkali wa dini. Ingawa katiba yao inatoa uhuru wa dini, kwa vitendo, serikali inadhibiti sana shughuli za kidini, na watu wanaoshiriki katika ibada zisizoidhinishwa na serikali wanaweza kukabiliwa na adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kifungo au hata kifo . Dini rasmi ya taifa ni itikadi ya "Juche", ambayo inasisitiza kujitegemea na inahusisha ibada ya viongozi wa taifa kama "miungu wa kisiasa" .

Kuhusu Uislamu nchini Korea Kaskazini, kuna msikiti mmoja tu unaojulikana, Ar-Rahman Mosque, ulioko katika ubalozi wa Iran mjini Pyongyang. Msikiti huu unahudumia wafanyakazi wa ubalozi na wageni wa Kiislamu, lakini si kwa raia wa kawaida wa Korea Kaskazini .

Kwa hivyo, hadi sasa, hakuna ushahidi wowote zaidi tu ya watu kuamua kufanya proaganda za kidini ambazo hazina tija kwa dini husika wala dunia.
 
Huyo jihadist ni muongo sana kwani kuna kipindi alizusha kwamba Cristiano Ronaldo ameslimu wakati habari yenyewe alitoka nayo masjid ubwabwa.


Huwa anahangaika dini yake haina watu wa maana so anahangaika kupata watu wa ambao anaweza sema wa maana kwake.
 
Video inayodai kuwa Kim Jong Un amesilimu ilichapishwa kwenye Dailymotion mnamo Februari 5, 2015. Hata hivyo, uchunguzi umebaini kuwa video hiyo ni ya kughushi (deepfake) na haionyeshi tukio halisi.

Kwa mfano, Kompas.com ilithibitisha kuwa video hiyo ni ya uongo na imetengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AI. Vilevile, JalaHoaks Jakarta ilitumia zana za Hive Moderation na Deepware kuthibitisha kuwa video hiyo ni ya kughushi kwa asilimia 99.7.

Korea Kaskazini ni nchi rasmi ya kikomunisti inayopinga dini kwa kiasi kikubwa. Ingawa katiba yao inadai kutoa uhuru wa dini, kwa vitendo, serikali hudhibiti kabisa shughuli zote za kidini.

Hakuna misikiti ya umma nchini Korea . Misikiti pekee inayojulikana ni ile ya Ar-Rahman iliyoko ndani ya ubalozi wa Iran mjini Pyongyang, ambayo hutumiwa na wafanyakazi wa ubalozi na wageni wa Kiislamu pekee.
Ndugu zangu katika imani hawatakuelewa hapa, wanapenda theories kuliko facts.
 
Kwa mwafrika ujinga ni kipaji chake.
 
Najuwa wengi ushindi huu unawauma sana. Siwashangai.
Sikushangaa Pank, akisilimu au kusingiziwa kusilimu. Nimeshangaa na kushtushwa na uislam kuitwa eti,, Dini ya amani. Kama damu za watu na makaburi ndiyo amani, utakuwa sahihi.
 
Huyo mwanamke ili aandike ni mambo ya dini tu vinginevyo hana chochote cha maana cha kuweza kuandika na hiyo ndio matokeo ya elimu ya madrasa inaonekana hana elimu nyingine tofauti na hiyo.
 
Back
Top Bottom