Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Binti yangu umekurupuka sana.
Artificial intelligence maker ndiyo ilitumika kuunda hiyo video miaka kadhaa imepita.

Ingekuwa kweli nahisi ilikuwa furaha na sikukuu kubwa sana kwako na nchi za kiislam, ila ndiyo fake story.

Alafu unaandika kabisa binti yangu FaizaFoxy kwamba unefanya utafiti pasi shaka 🤣 😂 🤣 aseee, pole hiyo video ni ya kughushi na hapo ni sehemu ya technologia tulipofika na inaendelea 😂 🤣!.
 
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.

Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.

Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.

Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:


View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj

Inasikitisha Sana kwani yeye ni nani kwanza Angeslimu NETANYAHU Wenda ningekuelewa sasa huyo kichwani mweupe ELIMU ya DINI Hana anakula mijusi na majingoo plus nyoka
 
Siku zote muogope sana mtu anayetaja haki, haki. Sijui akiongea kila sentensi moja haki. Wanakuwa ni watu wabinafsi, walalamishi, wapenda ugomvi. Yaani ni watu wa shari shari tu. Hawana msamaha, hata kama kufanya hivyo hakumpunguzii kitu
Mii namuelewa sana Yesu anayesema pendaneni pia sameheaneni kwa kupenda. Upendo hauhesabu mabaya ila haki inahesabu, upendo haulipi kisasi ila haki inataka kisasi, upendo huvumilia, ila haki haina uvumilivu, upendo una subira, ila haki haingojingoji nk nk. Sasa hapo unajionea mwenyewe aina za watu hao wawili
Barikiwa
 
Wengi wetu tulikuwa wenye mashaka (skeptical) kuwa Kim Jong UN, al maaruf Kiduku, kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.

Leo nimepekuwa sana mtandao na binafsi nimejihakikishia kasilimu kweli na wananchi kadhaa wa Korea Kaskazini wamemfata Rais wao kwa wao kusilimu pia na wanaendelea kusilimu.

Korea Kaskazini licha kukataza dini zote iliheshimu misikiti kutokana na hostoria ya Waislam wachache kuwa ni watu wa amani. Sasa makundi kwa makundi wanaingia Uislam kama aya ya Qur'an ilivyotabiri sura 110 ya Qur'an miaka zaidi ya 1,400 nyuma.

Kisa chake cha kusilimu ni muujiza:


View: https://youtu.be/qJvV-Nr0-Vo?si=SullMpN-7PJsi6gj

Ww una mume lakini namana umejawa na maujinga jinga kichwani mwako tupu
 
Back
Top Bottom