Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Umelogezewa na Uislam, na bila shaka ungependa watu wote wawe waislamu bila hata ya kujuwa baada ya hapo wataelekea wapi?

Mtume mwenyewe hajui atawapeleka wapi, Allah mwenyewe bado ataingia Jehanam baada ya watu wote kuingia huko

Huyo unayemtaja kuingia uislamu, ni stori ya 2015 huko ambayo ni uzushi uleule wa waislamu wenzako
 
Uisilam wenyewe ndio huu unaomzungumzia Allah naye ni kifaa cha motoni?

Quran 50 au Surat Qaf 30 (kuapa)
Siku tutakayoiambia Jahanamu, ‘Je! Umejaa?’ Nayo itasema ‘Je kuna ziada (zaidi? Naije tu!
Bukhari :: Book 9 :: Volume 93 :: Hadith 481
Narrated Anas:
Imesimuliwa na Anas kuwa: Mtume alisema watu watatupwa jahanamu, Naye Allah ataiuliza jahanamu akisema je umejaa nayo jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake nayo jahanamu itasema inatosha! Inatosha.

SASA KUNA HAJA GANI YA KUMFUATA ALLAH ATAKAYE INGIA JEHANNAM?

Bukhari :: Book 9 :: Volume 93 :: Hadith 481
Narrated Anas:
The Prophet said, "(The people will be thrown into Hell ( Fire) and it will keep on saying, 'Is there any more?' till the Lord of the worlds puts His Foot over it, whereupon its different sides will come close to each other, and it will say, 'Qad! Qad! (enough! enough!) By Your 'Izzat (Honor and Power) and YOUR KARAM (Generosity)!' Paradise will remain spacious enough to accommodate more people until Allah will create some more people and let them dwell in the superfluous space of Paradise. "
"Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh))
Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 371
Narrated Anas:
The Prophet said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
And finally
Bukhari :: Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh)) :😛rophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh))
Bukhari :: Book 6 :: Volume 60 :: Hadith 373
Narrated Abu Huraira:
The Prophet said, "Paradise and the Fire (Hell) argued, and the Fire (Hell) said, "I have been given the privilege of receiving the arrogant and the tyrants.' Paradise said, 'What is the matter with me? Why do only the weak and the humble among the people enter me?' On that, Allah said to Paradise. 'You are My Mercy which I bestow on whoever I wish of my servants.' Then Allah said to the (Hell) Fire, 'You are my (means of) punishment by which I punish whoever I wish of my slaves. And each of you will have its fill.' As for the Fire (Hell), it will not be filled till Allah puts His Foot over it whereupon it will say, 'Qati! Qati!' At that time it will be filled, and its different parts will come closer to each other; and Allah will not wrong any of His created beings. As regards Paradise, Allah will create a new creation to fill it with."
Bukhari :: Prophets :😛rophets
Bukhari :: Book 4 :: Volume 55 :: Hadith 553
Narrated Ibn Umar:
Once Allah's Apostle stood amongst the people, glorified and praised Allah as He deserved and then mentioned the Dajjal saying, "l warn you against him (i.e. the Dajjal) and there was no prophet but warned his nation against him. No doubt, Noah warned his nation against him but I tell you about him something of which no prophet told his nation before me. You should know that he is one-eyed, and Allah is not one-eyed."
 
Faiza wakorea hawawezi kuwa nchi ya kiislam, Nchi za kiislam zenyewe tu zimechoshwa na uislam iweje korea ikumbatie siasa hizo za kiislam? Hizi ni ndoto za walevi wa dini ya kiislam
 
Dada yangu dini iliyoanzishwa na shetani mwenyewe haijawahi kuwa na watu wa amani.

Suala la makundi kuingia Uislam hapo ndio unatakiwa ujue nguvu na ushawishi wa huyo shetani aliyeianzisha hiyo dini na ndio maana anatumia nguvu kubwa sana kuuhujumu Ukristo kwa hiyo ni rahisi sana kwa nchi isiyokuwa na dini kama korea kuupokea uislamu.

Mwisho usije sema R kelly katoa nyimbo mpya wakati yupo gerezani. Hiyo ni Artificial Inteligent -AI
 
Walokole wachafukwa !!!!

Dini ya ukweli uwa inapigwa vita na akuna promo Media lkn itakushangaza ndio iyoiyo inayokuwa zaid kuliko zote ktk Dunia!!!!!!

ata ile inayopewa promotion na nipesa Media zote bado ipo nyuma yake!!!!!

UISLAM hauna tofaut na Vita vya Gaza adui mwenyekusapotiwa na kilakitu na mataifa makubwa ya Dunia !!!!

akimbambana na vijana wasiopewa chochote nikama wapo Jela kumbuka ata Jela upewa Chakula Jela hiii akuna Chakula wala Maji !!!!

Ajabu wamesimama kupigana kwadamu zao !!!!!
uku adui akikiuka Sheria zote za Dunia na bado Dunia ipo kimya !!!!!!

lkn ashindi na wala atashinda Sababu Shetani kamwe awezi mshinda kijana mwenye Iman ya kweli ya mungu !!!!

uku adui shetan mkononi kashika Bendera ya Usodoma uku akidai anapambana na Magaid!!!!

Ukimuliza adui yako kakiuka Sheria ipi ya kimataifa adi umwite Gaid jibu ana zaid ya Bendera yake ya Usodoma,,

Ushujaaa wa Vijana wa Kiislamu Duniani inawashangaza wengi !!!!

Nukuu Israel inakiuka Sheria zote za kimataifa na bado Dunia ipo kimya..
 
Hapo umechanganya ujinga wa aina mbili, mmoja wa udini na mmoja wa uccm, huchomoki hapo.
 
Mi hicho kitabu walichokielewa majin sikiamin
 
Ni ngumu sana kufuata utamaduni wa kigeni. Wanahesimu sana mila na utamaduni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…