Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Mzee mwenzangu kibibi kikongwe Faiza naona hapa kwa kutumia kifaa changu una shida kubwa sana ya uongo uongo
 
Unasema uislamu ni dini ya amani!!!!!!!!!???????? Au nimesikia/ nimesoma vibaya.
 
Walokole mzigo kwa taifa!!!

Kiduku kubadilisha Dini au mwelekeo wake Badala kuchanganua hoja usika Badala yake
!! Anashutumiwa mleta Mada ¿¿¿
 
Jakwaaa ili wanataka wao tu walokole ndio walitumie kudanganya kondooo wao waliopotea ili wazidi kuwapoteza porini!!!!
 
Huyo jihadist ni muongo sana kwani kuna kipindi alizusha kwamba Cristiano Ronaldo ameslimu wakati habari yenyewe alitoka nayo masjid ubwabwa.

 


Tuna mahangaiko mengi sana na hii Imani yetu. Kwa kukosa watu tunaanza hata kuwapandikiza wengine kwa propaganda chafu chefu.

Kufikia sasa, hakuna ushahidi wa kuaminika au taarifa rasmi inayothibitisha kuwa Kim Jong-un, kiongozi wa Korea Kaskazini, amesilimu au kujiunga na Uislamu. Ingawa kuna video kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, kama YouTube na TikTok, zinazodai kuwa amesilimu na hata kujenga misikiti nchini Korea Kaskazini, hakuna chanzo huru au cha kuaminika kilichothibitisha madai haya. Video hizi mara nyingi hazina uthibitisho wa moja kwa moja na zinaweza kuwa sehemu ya kampeni za kidini au uvumi wa mtandaoni .

Korea Kaskazini ni taifa linalojulikana kwa udhibiti mkali wa dini. Ingawa katiba yao inatoa uhuru wa dini, kwa vitendo, serikali inadhibiti sana shughuli za kidini, na watu wanaoshiriki katika ibada zisizoidhinishwa na serikali wanaweza kukabiliwa na adhabu kali, ikiwa ni pamoja na kifungo au hata kifo . Dini rasmi ya taifa ni itikadi ya "Juche", ambayo inasisitiza kujitegemea na inahusisha ibada ya viongozi wa taifa kama "miungu wa kisiasa" .

Kuhusu Uislamu nchini Korea Kaskazini, kuna msikiti mmoja tu unaojulikana, Ar-Rahman Mosque, ulioko katika ubalozi wa Iran mjini Pyongyang. Msikiti huu unahudumia wafanyakazi wa ubalozi na wageni wa Kiislamu, lakini si kwa raia wa kawaida wa Korea Kaskazini .

Kwa hivyo, hadi sasa, hakuna ushahidi wowote zaidi tu ya watu kuamua kufanya proaganda za kidini ambazo hazina tija kwa dini husika wala dunia.
 

Huwa anahangaika dini yake haina watu wa maana so anahangaika kupata watu wa ambao anaweza sema wa maana kwake.
 
Ndugu zangu katika imani hawatakuelewa hapa, wanapenda theories kuliko facts.
 
Kwa mwafrika ujinga ni kipaji chake.
 
Najuwa wengi ushindi huu unawauma sana. Siwashangai.
Sikushangaa Pank, akisilimu au kusingiziwa kusilimu. Nimeshangaa na kushtushwa na uislam kuitwa eti,, Dini ya amani. Kama damu za watu na makaburi ndiyo amani, utakuwa sahihi.
 
Huyo mwanamke ili aandike ni mambo ya dini tu vinginevyo hana chochote cha maana cha kuweza kuandika na hiyo ndio matokeo ya elimu ya madrasa inaonekana hana elimu nyingine tofauti na hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…