Korea Kaskazini, kwa Kiduku, kuwa nchi ya Kiislam?

Wale watu Wana iq kubwa sana ,hawawezi kuwa maamuma,mtu kama kiduku hawezi kuwa na muda wa kusoma hekaya zisizo na tija
 
Tuliwaambia hawa watoto wapelekeni shule, wakatuambia oh Wamisionary watawasilimisha.

Ona huyu bibi.
 
Hahaha AI hizi zitawatoa roho. Mnatamani kila mtu awe muislamu.
 
Hivi kwanini waarabu hawana sigda lakini kwa hapa kwetu kila mtu anayejidai ni nduguye mtume anajitia kovu usoni aonekane anaswali sana?

Au ndiyo misikiti michafu inawatoa sigda?
 
huyu binti kiziwi anayekumbatia utekaji na ufisadi anahitajika kusilimu mara moja maana hiyo dini yake ni ya hovyo sana.
 
Salam aleykum
Shikamoo shangazi ,za siku nilikuwa najiuliza kama u bukheri wa afya shangazi mpaka nikawa na mawazo sana kuwa labda kuna shida .

Siku chache nikakupigia sijakupata ikabidi nimpigie mjomba Faana kumuuliza kama u mzima naye hakupatikana shangazi .
Nafurahia kuona uko salama kabisa na umerejea
Wabillah taufiq
 
kaamuwa kusilimu na kuwa Muislam kamili baada ya kuusoma Uislam kwa miezi kadhaa.

What is the main Religion In North Korea?​


Officially North Korea is an atheist state, however according to most recent estimates, some religions do exist. These are the Korean religions of Shamanism and Chondoism, as well as Christianity & Buddhism.

Chondoism​


Somewhat embraced by the North Korean government over the years, Chondoism is seen as the national religion of Korea. It even has political representation in Pyongyang in the form of the Chondoist Chongu Party.

 
Wamechafukwa Walokole wa kiteto!!!! DUNIA nayo inaanza kugundua NURU ya Iman.. nyie endeleen kubishana na NURU!
 
🤣
 
Wazee wa fiksi....
 
Kama ni kweli itakua vizuri lakini siku hizi kuna video za AI kwa hivyo be careful unaweza kulishwa matango pori na AI
Watu wanatafuta namna ya kupata pesa kwa kutumia mitandao kwa hivyo wanabuni stories kupitia AI..
 

Duu, baada ya kupotea kwa muda hapa JF, sasa naona FaizaFoxy umeibukia kwa bwana kidugu.
 

Haya sasa FaizaFoxy njoo ukanushe kwa uthibitisho hili
 
Ni dini ya shari Shari, ubaya ubwela.

Siku zote muogope sana mtu anayetaja haki, haki. Sijui akiongea kila sentensi moja haki. Wanakuwa ni watu wabinafsi, walalamishi, wapenda ugomvi. Yaani ni watu wa shari shari tu. Hawana msamaha, hata kama kufanya hivyo hakumpunguzii kitu
Mii namuelewa sana Yesu anayesema pendaneni pia sameheaneni kwa kupenda. Upendo hauhesabu mabaya ila haki inahesabu, upendo haulipi kisasi ila haki inataka kisasi, upendo huvumilia, ila haki haina uvumilivu, upendo una subira, ila haki haingojingoji nk nk. Sasa hapo unajionea mwenyewe aina za watu hao wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…