Korea kaskazini: Rais kim jong Un asema Africa itaendelea kunyonywa na ulayakupitia dini mpaka hapo watakapomtambua Mungu wao

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.

Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.

Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
 
Bora amempasha ukweli huyo mgeni wake
 
Siyo kweli. Tenganisha propaganda za Magharibi na ukweli.
1024px-The_statues_of_Kim_Il_Sung_and_Kim_Jong_Il_on_Mansu_Hill_in_Pyongyang_%28april_2012%29.jpg
f39a8626-2116-4282-a2c6-332bb0eecab7.jpg

Usiposujudu unafungwa au kuuwawa kabisa.

Huko panamfaa Makonda wenu mpenda Damu za Wananchi.
 
Wale wa 666, Alama ya mnyama imejitokeza.
Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaa
 
Back
Top Bottom