Bora amempasha ukweli huyo mgeni wakeKim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo.
Ikumbukwe korea kaskazini wamezuia na kupiga marufuku biblia na quran kwa kusema na culture ya wazungu na waarabu tu lakini hakuna ukweli kwamba ni maneno ya mungu bali ya wajanja tu waliokaa na kutafuta namna ya kuiba.
Korea kaskazini wana namna yao ya kumwabudu Mungu bila vitabu hivyo vya kimagaharibi.
Korea Kaskazini imechoka uki compare na Ulaya ama Usa, ila majority ya Nchi za ki Africa hawafikii Korea.Mbona yeye Hana maendeleo. Nchi imechoka balaa. Kusini ni wa kristo kwa kiasi wana maendeleo
Kwamba ukiristo umeleta maendelea Korea kusini,Ila umeshindwa bandah Aceh na ilejeMbona yeye Hana maendeleo. Nchi imechoka balaa. Kusini ni wa kristo kwa kiasi wana maendeleo
Siyo kweli. Tenganisha propaganda za Magharibi na ukweli.Kawafanya Wananchi wa Korea Kaskazini waiabudu Familia yake.
Huyo ndio mungu wao! Madikteta yana kila mbinu za kusalia kama sio kufia madarakani.Kawafanya Wananchi wa Korea Kaskazini waiabudu Familia yake.
Propaganda tu za magahatibi. Korea kaskazini wanakaribia hata kuishika marekani kimaendeleoMbona yeye Hana maendeleo. Nchi imechoka balaa. Kusini ni wa kristo kwa kiasi wana maendeleo
Siyo kweli. Tenganisha propaganda za Magharibi na ukweli.
Ha ha ha! Watakuambia picha za kuchora hizo; NK hamna hiko kitu!View attachment 3007786View attachment 3007787
Usiposujudu unafungwa au kuuwawa kabisa.
Huko panamfaa Makonda.
North Korea ni Gereza kubwa na huwezi kutoka labda utoroke na ukikamatwa unakula shaba.Ha ha ha! Watakuambia picha za kuchora hizo; NK hamna hiko kitu!
North Korea ni Gereza kubwa na huwezi kutoka labda utoroke.
Achana na wasabato ambao hawajui kuhibiri mahubri yao ni hayohayo kila uchwao. Namshukuru mungu kusali kanisa lenye wasomi wenye hekima na busala mana huwezi kukuta pasre au askofu anabishana na hawa vichaaa wa kisabato. Wasababto wote ni vichaaWale wa 666, Alama ya mnyama imejitokeza.
Nadhani hata lengo la Nyerere lilikuwa ni hilohilo labda hofu yake ilikuwa ni kutoka Kanisani.Jpm alitaka kuifanya nchi hii kama korea kaskazini Mungu akasema no