Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.

Screenshot_20240614_214600_X.jpg
 
Huu mwaka wa kufosi mpka bosi ajulikane...na nahisi zile meli na nuke sub kule Cuba hazitoki yaani ndo zimefika pale
Eeh zile zimefika na China mzigo upo njiani anasogeza Aircraft Carrier kwaajili ya ndege za kivita pale Cuba. Pale inajengwa kambi ya kudumu wanaichungulia Washington DC kwa dirishani.
 
Eeh zile zimefika na China mzigo upo njiani anasogeza Aircraft Carrier kwaajili ya ndege za kivita pale Cuba. Pale inajengwa kambi ya kudumu wanaichungulia Washington DC kwa dirishani.
Kama ndo game itakuwa hivyo basi mawili: cold war politics inarudi kwa Kasi ama vita halisi itapiganwa Middle East or Eastern Europe.
 
Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.View attachment 3017569
Kwanini atumie meli kusafirisha hizo ammunition wakati Yeye na urusi wana land border na hata Kuna reli inayounganisha hizo nchi mbili?, Au we uliposoma anatuma container ukajua itakuwa Kwa meli.
 
Back
Top Bottom