Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Unapigana na ukraine unaishiwa artelleries ukipigana na USA
Nchi 32 kuzitandika viboko akiwa peke Ake,akigiza wamletee vingine porini Kuna tatizo?
Screenshot_20240403-213954.png
 
putin na neta nyahu sanaa za mapigano ndio kitu wanachopenda hawanaga ugomvi mdogo
Mh netqnyahu anapigana na mgambo ambaye hana silaha na anazuia hadi waandishi wa habari wasione udhaifu wake mtoe kwenye kundi la wanaume, huyu putin anapigana na nchi 32 za dunia ya kwanza zenye silaha kali zote zinamchangia na miaka inaenda tu huku kamaintain uchumi
 
Unapigana na ukraine unaishiwa artelleries ukipigana na USA
Wewe mpaka leo unaamin Russia anapigana na Ukrain tuu. Mbona mchezo ungeisha kitambo tuu! Wapo wanajeshi wakigen wanapigana upande wa Ukrain kwa kujifanya wanajitolea. Wapo wataalam wa usalama kiheshi na special force wanaoisaidia Ukrain . Na wapo wanajeshi 1000 out of 2000 toka Ufaransa. Hapo unasemaje Russia anapigana na Kanchi kadogo ?
 
WaNAZI walivyovamia SOVIET union, Stalin akafanya uamuzi mgumu wa kung'oa viwanda vyote vilivyo karibu na maeneo yaliyotekwa na waNAZI na kuvihamishia mashariki huko karibu na Siberia ili vizalishe silaha. Na kweli uzalishaji huo ilikuwa ni nguzo muhimu ya kuisaidia SOVIET kushinda hiyo vita.

Hata Urusi ya leo imeongeza uzalishaji wa silaha kwa kasi kubwa sana kukabiliana na vita ya UKRAINE
 
Naona watu wanaota ndoto za mchana. Eti China inapeleka Aircraft carrier na inajenga kituo cha kijeshi Cuba! Ha ha haaaa!!
 
Mkuu hilo tu?
Hata Marekani na NATO wako kwenye changamoto ya production ya artiliries za kutosha kuipa Ukraine.
Harafu jiulize lini US ilipigana bila washirika wake kuipa support?
Mwisho! Russia inapigana na nchi ngapi Ukraine?
Nchi moja tu(ukraine)
Halaf marekani hayupo kwenye changamoto ya ammunitions! Anazo za kutosha kwa ulinzi wake.
Hizo anazozalisha ni za kupeleka ukraine na israel.
 
Eeh zile zimefika na China mzigo upo njiani anasogeza Aircraft Carrier kwaajili ya ndege za kivita pale Cuba. Pale inajengwa kambi ya kudumu wanaichungulia Washington DC kwa dirishani.
madhara ya Wairaq yatawakuta nao, tujiandae kupokea wakimbizi mitaa ya Manzese na Mbagala
 
Back
Top Bottom