Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Kwanini atumie meli kusafirisha hizo ammunition wakati Yeye na urusi wana land border na hata Kuna reli inayounganisha hizo nchi mbili?, Au we uliposoma anatuma container ukajua itakuwa Kwa meli.
Mkuu Russia na North Korea wana share mpaka toka lini!?
Embu fafanua hili.
 
Nchi moja tu(ukraine)
Halaf marekani hayupo kwenye changamoto ya ammunitions! Anazo za kutosha kwa ulinzi wake.
Hizo anazozalisha ni za kupeleka ukraine na israel.
We kweli uko nyuma ya muda.
Ukraine anasaidiwa na NATO kisilaha na kijeshi.Kuna askari mpaka wa UK wamepenyezwa kwa kuitwa mercenaries mule ndani kumbe ni askari kamili wa UK.
 
We kweli uko nyuma ya muda.
Ukraine anasaidiwa na NATO kisilaha na kijeshi.Kuna askari mpaka wa UK wamepenyezwa kwa kuitwa mercenaries mule ndani kumbe ni askari kamili wa UK.
Russia anapigana na ukraine tu,Suala la ukraine kupewa msaada ni kawaida hata Russia anapewa
 
Russia anapigana na ukraine tu,Suala la ukraine kupewa msaada ni kawaida hata Russia anapewa
Unaonesha una utindii wa ubongo.
Russia hapewi msaada popote hizo silaha ananunua,hata zile drone za shaheed kwa Iran alinunua.
Japo hayo mabomu ya N.Korea sijajua kama kanunua ama kapewa.
Ukraine hapigani peke yake kuna askari wamepenyezwa wa USA,UK na France wakipachikwa jina la Mercenaries kumbe ni askari halisi wa hayo mataifa.
Mbona hilo linajulikana na kuna video zilisambaa Kharkiv zikionesha Russia ikiua askari wa kimarekani!?
Au unaishi dunia gani wewe!?
 
neta nyahu vs
hamas
houth
hizbollah
syria
iran

tena hawa wako wazwaz bora hata NATO wanashiriki kisirisiri pale ukrain

think again rasta lile jamaa linania ovu na wale watu pale gaza kila anaeingilia lazima achabangwe hamas lazima watumie hekima waachie hao mateka halafu wa regroup tena kivingine wanaoteseka ni raia wao wapo kwenye mashimo sponsor yupo qatar anakula mihadarati sio haki kwa wale wanawake wazee na watoto
NETANYAHU VS HAMAS...
Hao wengine wanachokozana tu.... Ila NETANYAHU yupo vitani na HAMAS.
 
Na mabomu ya huyu mkorea yanavyotifua aiseee lamamayeee😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Ukraine kazi anayo.
Ila juzi Vladimir Putin aliongea akisema yuko tayari kusitisha vita kama Ukraine atakubaliana na masharti mawili kama ifuatavyo;
1)Aondoe vikosi vyake katika miji ambayo Russia kainyakua.
2)Atambue maeneo aliyonyakua Russia kipindi cha mapigano kuwa nk sehemu ya mipaka ya Russia ikiweml Crimea sio sehemu za Ukraine tena.
Je,haya makubaliano yatawezekana kweli!?
Kwakifupi haya mapendekezo aloyatoa Putin ni kama kuwambia hao NATO kuwa hapa hampati kitu 🤣
 
Unaonesha una utindii wa ubongo.
Russia hapewi msaada popote hizo silaha ananunua,hata zile drone za shaheed kwa Iran alinunua.
Japo hayo mabomu ya N.Korea sijajua kama kanunua ama kapewa.
Ukraine hapigani peke yake kuna askari wamepenyezwa wa USA,UK na France wakipachikwa jina la Mercenaries kumbe ni askari halisi wa hayo mataifa.
Mbona hilo linajulikana na kuna video zilisambaa Kharkiv zikionesha Russia ikiua askari wa kimarekani!?
Au unaishi dunia gani wewe!?
Wewe huna akili! Naongea short short tu kwasababu naona hujui chochote!
Apewe msaada au asipewe ujinga ni wake na hizo story za mamluk hazina ukwel wowote,Russia anapigana na ukraine na anaelekea kupoteza,vita ya siku 3 inaelekea mwaka wa 3
 
Usimdhalilishe Putin kwa kumuweka na karumanzira kama Netanyahu ambaye wavaa kobazi amewashindwa.
anawatembezea jando wagaigai wa nchi tano bado na yuko tayari kupeleka moto kwa yeyote atakae ongezeka
 
Embu bishana na MAFALA wenzako let me save my prestige.
Naona naongea na kilaza mpumbavu asiyejua anajifanya anajua.
 
Ukraine hadi sasa hajakomboa hata thumni ya kipande cha ardhi alichobeba Russia.
Unasemaje Russia kafeli!?
Kafeli vibaya vita ya siku 3 inaelekea mwaka wa 3 hii ni nini? Sialisema atamaliza ndani ya saa 72
 
anawatembezea jando wagaigai wa nchi tano bado na yuko tayari kupeleka moto kwa yeyote atakae ongezeka
Nani huyu anawatembezea moto!?
Labda useme Russia ila sio Israel bro.
 
Embu bishana na MAFALA wenzako let me save my prestige.
Naona naongea na kilaza mpumbavu asiyejua anajifanya anajua.
Huna akili fala wewe ushabiki umekujaa! Huna kitu kichwan
 
Usimdhalilishe Putin kwa kumuweka na karumanzira kama Netanyahu ambaye wavaa kobazi amewashindwa.
Ndo maana sitaki kupoteza muda na kilaza kama ww (wavaa kobazi amewashindwa)
Hii inaonyesha umejaa ujinga na ushabik kichwan.
Hao wavaa kobazi wanauliwa kikatili kila siku unaleta ushabiki wakijinga? Gaza imegeuzwa kifusi unaleta ushabik! Netanyau anapigana na Hezbollah+Proxies za iran+houth(yemen)+syria+iraq na huku kote ni kipigo.
 
Back
Top Bottom