maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Mkuu usipoteze muda wako kubishana na huyo kuruti. Hakuna anachoelewa kwenye hizi medaniUnaonesha una utindii wa ubongo.
Russia hapewi msaada popote hizo silaha ananunua,hata zile drone za shaheed kwa Iran alinunua.
Japo hayo mabomu ya N.Korea sijajua kama kanunua ama kapewa.
Ukraine hapigani peke yake kuna askari wamepenyezwa wa USA,UK na France wakipachikwa jina la Mercenaries kumbe ni askari halisi wa hayo mataifa.
Mbona hilo linajulikana na kuna video zilisambaa Kharkiv zikionesha Russia ikiua askari wa kimarekani!?
Au unaishi dunia gani wewe!?