permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Akili tu za kawaida, stock imepungua hivyo anahitaji kuongeza. Haya ndio matunda ya safari za Putin kwenda Korea Kaskazini mara kwa mara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili tu za kawaida, stock imepungua hivyo anahitaji kuongeza. Haya ndio matunda ya safari za Putin kwenda Korea Kaskazini mara kwa mara.
Stock inakata, inabidi kuomba kupigwa tafu kabla mambo kuwa magumu.Unapigana na ukraine unaishiwa artelleries ukipigana na USA
Ni weye uliyeandika hivi mkuu?Acha mbwembwe za twitter we kijana.
Katika kikao cha G7 Italy juzi suala la amani ya Ukraine ilijadiliwa.
Vladimir Putin alitoa majibu kuhusu kilichojadiliwa Italy kuhusu amani ya Ukraine akasema yuko tayari kujadili amani kwa masharti mawili;
1)Ukraine iondoe vikosi vyake katika miji ambayo Russia kainyakua.
2)Ukraine itambue kuwa miji aliyoinyakua Russia ipo ndani ya mipaka ya Russia ikiwemo Crimea.
Inamaana Ukraine hajakomboa mji hata mmoja bali ana vikosi vinavyojaribu kuikomboa hiyo miji.
Na Russia kakomaa hatoiachia hiyo miji ambayo tayari kashainyakua kama vipi vita iendelee.
Unakaa unaokoteza mbwembwe za Mitandaoni!?
Mkuu tumia akili mkubwa wewe.Ni weye uliyeandika hivi mkuu?
Miji Russia unadai tayari kashainyakua sasa Ukraine waondoshe vikosi vyao vipi?
Inamaana Russia amenyakua miji kwenye makaratasi tu lakini hana ubavu anashugulikiwa vilivyo?
Maana yake ni kwamba unashikilia kitu ambacho bado kimo mikononi mwa wenyewe, putin aache kulia lia Ukraine hawataacha hata ka-inch 1 kumuachia russia mpaka huko cremea. Ndio kwanza Marekani amesaini mkataba wa miaka 10 kumsaidia Ukraine kijeshi ni vile putin ashakata tamaa
Mkuu, nitajaribu kutumia lugha rahisi nina imani pengine utanielewa: kwenye vita vikosi mbalimbali vinashirikishwa; askari wa miguu, askari wa mizinga, askari wa anga n.kNchi moja tu(ukraine)
Halaf marekani hayupo kwenye changamoto ya ammunitions! Anazo za kutosha kwa ulinzi wake.
Hizo anazozalisha ni za kupeleka ukraine na israel.
Wewe unakili!point👏Mkuu, kwenye vita vikosi mbalimbali vinashirikishwa; askari wa miguu, askari wa mizinga, askari wa anga n.k
Ili uweze kujua target ya mwenzako ni utumie drones za camera za ujasusi, utumie satellite za kijeshi ambazo zinaongozwa na commanding center ambapo kunakuwa na mawasiliano na askari waliyopo eneo la mapambano.
Commanding center kwa kutumia drones/satellite za kijeshi humfuatilia adui na kutoa mwongozo kwa askari wa ardhini kwa mfano kikosi cha mizinga mfano labda cardinal direction 29-0 angle meter 29-72 full charge, site ni 9-0-8 hiyo kodi anawapa kikosi cha mizinga ili waseti mzinga upige eneo husika walilopo maadui.
Halikadhalika kwenye missile; ili iweze kupigwa kutoka eneo moja na kwenda eneo jengine kiusahihi inakuwa guided na navigation system wakati ikiwa hewani ambapo inatumiwa mfumo wa kuhifadhi ramani n.k
Hayo huwezi kuyafanya bila kuwa na satellite za kijeshi ambazo zitatoa kodi za eneo husika. Kwa bahati mbaya Ukraine hana satellite ya kijeshi.
Kwa misingi hiyo; Ukraine ikipatiwa modern missile na UK inabidi UK awe ana control yeye mwenyewe upigaji wa hiyo missile tangu hatua ya kabla ya kuruka mpaka inatua eneo la adui. Ikiwa kama amepatiwa na nchi ya Ufaransa au Ujerumani au Marekani n.k hali inakuwa vivyo hivyo!
Akipatiwa msaada wa namna hiyo ina maana nchi hizo husika zitakazo msaidia zinabidi nazo ziingie vitani (ziwe na commanding center) za kutoa maelekezo na kurusha maude yao.
Pia, askari husika ni lazima wawe na ujuzi na uelewa wa kutumia kifaa husika kwa usahihi. Kwa bahati mbaya ukiwa vitani hali ya kuchukua mafunzo ya kutumia vifaa hairuhusu tofauti na ukim training mtu njia za hapa na pale za kutumia bunduki n.k
Hii tafsiri yake ni nini? Tafsiri yake ni kwamba; kama ukipelekea ADS ya Marekani, askari wa Ukraine hatoweza kuitumia kiusahihi. Kwa vile ni vita itawalazimu Marekani wapeleke askari wao watakaoweza kuundesha huo mfumo kiusahihi.
Kumsaidia mtu hivyo, ni sawa sawa na wewe unayemsaidia umeingia kwenye vita. Na ndiyo maana watu wanasema NATO nayo ipo vitani na Mrusi.
Mkuu, vita ni ngumu sana tena sana na inajumuisha mambo mengi asikwambie mtu.Wewe unakili!point👏
Tukiwa tunajadili kwa facts hivi tutaelewana sana.Sio hao wajinga hapo juu walikuwa wanaleta ushabiki nikaamua niende nao kishabiki.Mkuu, vita ni ngumu sana tena sana na inajumuisha mambo mengi asikwambie mtu.
Mbaya zaidi mnaweza kupewa muda ili muweze kuwa na defensive line nzuri kistratejia eneo fulani ndani ya masaa 2 tu muwe tayari mmeshalikomboa na kumtokomeza kabisa adui.
Eneo la mapambano mara mnazidiwa mnafanya mawasiliano ili mate msaada wa haraka wa askari wengine ili kuongeza nguvu kumbe wenzanu nao wana wa monitor na drone zao za kijasusi.
Usishangae mkapigwa mizinga ninyi na askari wenzanu waliyokuja kuwasaidia. Vita ya kisasa ni ngumu sana. Yaani ninyi mnamsoma adui, adui naye anawasoma ninyi.
Kama ni mwanajeshi uwe tayari kufa kabisa! Usishangae wanajeshi wa msumbiji walikuwa wanawakimbia magaidi mapambano yakipamba moto!
North Korea ipo upande wa magharibi mwa Urusi na wana share mpaka. Ki ramani ilivyoaa ya Russia kimipaka ya kimaeneo North Korea kwa upande wao ipo kaskazini.Mkuu Russia na North Korea wana share mpaka toka lini!?
Embu fafanua hili.
Mkuu shukran kwa kunielekeza.North Korea ipo upande wa magharibi mwa Urusi na wana share mpaka. Ki ramani ilivyoaa ya Russia kimipaka ya kimaeneo North Korea kwa upande wao ipo kaskazini.
Kama ukiangalia kwenye safari za Kim Jong Un kwenda Russia huwa anatumia treni.
Mkuu umeeleza vyema,natumai umeeleweka maana hiki ndicho tulichokua tunakilenga.Mkuu, nitajaribu kutumia lugha rahisi nina imani pengine utanielewa: kwenye vita vikosi mbalimbali vinashirikishwa; askari wa miguu, askari wa mizinga, askari wa anga n.k
Ili uweze kujua target ya mwenzako ni utumie drones za camera za ujasusi, utumie satellite za kijeshi ambazo zinaongozwa na commanding center ambapo kunakuwa na mawasiliano na askari waliyopo eneo la mapambano.
Commanding center kwa kutumia drones/satellite za kijeshi humfuatilia adui na kutoa mwongozo kwa askari wa ardhini kwa mfano kikosi cha mizinga mfano labda cardinal direction 29-0 angle meter 29-72 full charge, site ni 9-0-8 hiyo kodi anawapa kikosi cha mizinga ili waseti mzinga upige eneo husika walilopo maadui.
Halikadhalika kwenye missile; ili iweze kupigwa kutoka eneo moja na kwenda eneo jengine kiusahihi inakuwa guided na navigation system wakati ikiwa hewani ambapo inatumiwa mfumo wa kuhifadhi ramani n.k
Hayo huwezi kuyafanya bila kuwa na satellite za kijeshi ambazo zitatoa kodi za eneo husika na kuiendesha hiyo missile. Kwa bahati mbaya Ukraine hana satellite ya kijeshi.
Kwa misingi hiyo; Ukraine ikipatiwa modern missile na UK inabidi UK awe ana control yeye mwenyewe upigaji wa hiyo missile tangu hatua ya kabla ya kuruka mpaka inatua eneo la adui. Ikiwa kama amepatiwa na nchi ya Ufaransa au Ujerumani au Marekani n.k hali inakuwa vivyo hivyo!
Akipatiwa msaada wa namna hiyo ina maana nchi hizo husika zitakazo msaidia zinabidi nazo ziingie vitani (ziwe na commanding center) za kutoa maelekezo na kurusha maude yao.
Pia, askari husika ni lazima wawe na ujuzi na uelewa wa kutumia kifaa husika kwa usahihi. Kwa bahati mbaya ukiwa vitani hali ya kuchukua mafunzo ya kutumia vifaa hairuhusu tofauti na ukim training mtu njia za hapa na pale za kutumia bunduki n.k
Hii tafsiri yake ni nini? Tafsiri yake ni kwamba; kama ukipelekea ADS ya Marekani, askari wa Ukraine hatoweza kuitumia kiusahihi. Kwa vile ni vita itawalazimu Marekani wapeleke askari wao watakaoweza kuundesha huo mfumo kiusahihi.
Kumsaidia mtu hivyo, ni sawa sawa na wewe unayemsaidia umeingia kwenye vita. Na ndiyo maana watu wanasema NATO nayo ipo vitani na Mrusi.
Mpumbavu sana wewe, yaani mtu aiache nchi yake mikononi mwa mvamizi kwa kuogopa mabomu ya North Korea?Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.
View attachment 3017569
Kwa akili zako ndogo unadhani Russia atashinda?Natamani iwe hivyo aisee,US ana ukuda mwingi Sana.
Kulluamin waantum bikhayr!Mkuu shukran kwa kunielekeza.
Eid mubaarak.
Madini yenu nayaandika kwenye notepad!Mkuu umeeleza vyema,natumai umeeleweka maana hiki ndicho tulichokua tunakilenga.
Mkuu, kwa hatua anayopitia Ukraine ni mbaya sana!Mpumbavu sana wewe, yaani mtu aiache nchi yake mikononi mwa mvamizi kwa kuogopa mabomu ya North Korea?
Putin ni Hitler atadhalilika tu, hawezi kushinda hii vita
Ni nani Hana hizi nukes ,Putin na nchi yake hawana Roho ,Putin kaishiwa posse ,akipiga naye atapigwa tuMarekani na West Europe wanatafuta kitu wasichojua madhara yake.
Sasa watu wamezingirwa ndani ya kiwanda Cha kokoto Hadi wafe muulize putin,hivi masaa 72 bado ,msururu wa gari za vita kilometa 60+10 hazijafika KihviMkuu, kwa hatua anayopitia Ukraine ni mbaya sana!
Wamejaribu kila namna ya kupambana imeshindikana. Vita aliyopigana Ukraine na Russia ni ya kisasa. Ukraine imejitahidi kwa kila namna imeshindikana. Wasaidizi wake wamemsaida kwa kila namna: Kwa kutumia satellite zao za kijeshi ili wawape Ukraine msaada wa kupiga maeneo ya kimkakati dhidi ya Russia imeshindikana.
Ili kombora lifike sehemu sahihi inakubidi ufanye coordinates kiusahihi. Muda mwengine coordinates zinaharibiwa na hali ya hewa. Wewe unaweza ukaseti lipige sehemu fulani upande wa kulia kutokana na hali ya hewa kubadilika likapiga upande wa kushoto. Hapa tatizo linakuwa siyo kombora, tatizo hali ya hewa zinachezesha hizo GPS coordinates hivyo zinakupa latitude na longitude ambazo siyo sahihi. Matokeo yake unapiga enelo silo sahihi na pigo linakuwa lisilo na madhara kwa adui wako.
Russia amekuwa akitumia electromagnetic warfare. Hizi nazo zinachezesha GPS coordinates. Matokeo yake zinakupa latitudes na longitudes ambazo si sahihi. Makombora mengi ya Ukraine yamekuwa yakifanyiwa huo mchezo na matokeo yake yanapiga maeneo tofauti aliyopo adui. Nato wamemsaidia matokeo yamekuwa ni yaleyale.
Kwa upande wa ubora wa zana za kivita Russia amewazidi pakubwa sana kwenye mambo mengi. Kumrudisha Russia nyuma ni jambo gumu sana. Ukraine kwa sasa hana jeshi. Idadi kubwa ya wanajeshi wake wameuliwa. Kila baada ya siku kadhaa wanabadilisha sheria nchini mwao za umri wa mwisho kujiunga jeshini. Sasa hivi wamepitisha wazee na wanawake ni lazima waende mstari wa mbele. Vita ya namna hii huwezi kushinda.
Kitu pekee ambacho anachotakiwa kukifanya Ukraine kwa sasa akubali kuwa Russia hamuwezi akae naye kwenye meza wazungumze. Eneo lake la nchi lililomegwa mwaka jana tofauti na mwaka huu. Mwaka huu linaongezeka zaidi. Kwa tafsiri nyengine anazidi kupoteza maeneo. Russia juzi wametoa mapendekezo yao na kusema maeneo waliyoyachukua kamwe hayatarudi. Akae mezani wayamalize.
Kama anataka kupambana na Russia kwa sasa hivi atunze nguvu yake na maeneo yake apambane naye miaka ya mbeleni huko!
Mkuu, nafikiri sote ni watu wazima. Ikiwa kama inakupendeza kujadili, tujadili kiutu uzima.Sasa watu wamezingirwa ndani ya kiwanda Cha kokoto Hadi wafe muulize putin,hivi masaa 72 bado ,msururu wa gari za vita kilometa 60+10 hazijafika Kihvi
Sasa Hirmaz zinapigwa ndani ya Rusia .