Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Mzee
Kwanini atumie meli kusafirisha hizo ammunition wakati Yeye na urusi wana land border na hata Kuna reli inayounganisha hizo nchi mbili?, Au we uliposoma anatuma container ukajua itakuwa Kwa meli.
Mzee kontena 10,000, usafirishe kwa treni au gari si mchezo ujue, hapo naona meli ndio option nzuri zaidi
 
Mkuu, nitajaribu kutumia lugha rahisi nina imani pengine utanielewa: kwenye vita vikosi mbalimbali vinashirikishwa; askari wa miguu, askari wa mizinga, askari wa anga n.k

Ili uweze kujua target ya mwenzako ni utumie drones za camera za ujasusi, utumie satellite za kijeshi ambazo zinaongozwa na commanding center ambapo kunakuwa na mawasiliano na askari waliyopo eneo la mapambano.

Commanding center kwa kutumia drones/satellite za kijeshi humfuatilia adui na kutoa mwongozo kwa askari wa ardhini kwa mfano kikosi cha mizinga mfano labda cardinal direction 29-0 angle meter 29-72 full charge, site ni 9-0-8 hiyo kodi anawapa kikosi cha mizinga ili waseti mzinga upige eneo husika walilopo maadui.

Halikadhalika kwenye missile; ili iweze kupigwa kutoka eneo moja na kwenda eneo jengine kiusahihi inakuwa guided na navigation system wakati ikiwa hewani ambapo inatumiwa mfumo wa kuhifadhi ramani n.k

Hayo huwezi kuyafanya bila kuwa na satellite za kijeshi ambazo zitatoa kodi za eneo husika na kuiendesha hiyo missile. Kwa bahati mbaya Ukraine hana satellite ya kijeshi.

Kwa misingi hiyo; Ukraine ikipatiwa modern missile na UK inabidi UK awe ana control yeye mwenyewe upigaji wa hiyo missile tangu hatua ya kabla ya kuruka mpaka inatua eneo la adui. Ikiwa kama amepatiwa na nchi ya Ufaransa au Ujerumani au Marekani n.k hali inakuwa vivyo hivyo!

Akipatiwa msaada wa namna hiyo ina maana nchi hizo husika zitakazo msaidia zinabidi nazo ziingie vitani (ziwe na commanding center) za kutoa maelekezo na kurusha maude yao.

Pia, askari husika ni lazima wawe na ujuzi na uelewa wa kutumia kifaa husika kwa usahihi. Kwa bahati mbaya ukiwa vitani hali ya kuchukua mafunzo ya kutumia vifaa hairuhusu tofauti na ukim training mtu njia za hapa na pale za kutumia bunduki n.k

Hii tafsiri yake ni nini? Tafsiri yake ni kwamba; kama ukipelekea ADS ya Marekani, askari wa Ukraine hatoweza kuitumia kiusahihi. Kwa vile ni vita itawalazimu Marekani wapeleke askari wao watakaoweza kuundesha huo mfumo kiusahihi.

Kumsaidia mtu hivyo, ni sawa sawa na wewe unayemsaidia umeingia kwenye vita. Na ndiyo maana watu wanasema NATO nayo ipo vitani na Mrusi.
Well clarified, hapa ndio tunajifunza kitu sasa. Mkuu kwa noleji hii uko sambamba na comanda @T14 Amata mzee wa nondo za kijeshi
 
Leo Putin yupo North Korea kusaini mkataba wa kusaidiana kwenye vita ya 3 ya dunia inayokuja. Yale madude mnayoyaona Kiduku anatest ICBM yatakua yanadondoka Washington na New Yorke
 
Back
Top Bottom