Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Korea Kaskazini Yatuma Meli ya kontena Elfu 10 za mabomu Nchini Urusi

Hizo Mbwembwe hata Saddam alikua nazo..kilichotokea akadakwa shimoni
 
sasa je!
lazma waonyeshwe maana ya vita kwamba sio kupiga watoto,wazee na wanawak halafu ukajisifu wewe ni mwamba
 
Netanyahu vs Hamas ( Panya Road )

Kuwa serious kijana....Netanyahu ni kilaza kwa Putin.
neta nyahu vs
hamas
houth
hizbollah
syria
iran

tena hawa wako wazwaz bora hata NATO wanashiriki kisirisiri pale ukrain

think again rasta lile jamaa linania ovu na wale watu pale gaza kila anaeingilia lazima achabangwe hamas lazima watumie hekima waachie hao mateka halafu wa regroup tena kivingine wanaoteseka ni raia wao wapo kwenye mashimo sponsor yupo qatar anakula mihadarati sio haki kwa wale wanawake wazee na watoto
 
Mh netqnyahu anapigana na mgambo ambaye hana silaha na anazuia hadi waandishi wa habari wasione udhaifu wake mtoe kwenye kundi la wanaume, huyu putin anapigana na nchi 32 za dunia ya kwanza zenye silaha kali zote zinamchangia na miaka inaenda tu huku kamaintain uchumi
hizbollah
houth
iran (backdoors)
syria

anakanda wote hao awamu kwa awamu tusiwe vipofu wakuu
 
hizbollah
houth
iran (backdoors)
syria

anakanda wote hao awamu kwa awamu tusiwe vipofu wakuu
kwahiyo anapigana na iran tu, nchi moja tena yenye vikwazo kwa zaidi ya miaka 30 na hadi leo hajafaulu kuokoa mateka wake hadi anakubali majadiliano ya kuwaachia

Huku putin anapigana na nchi 32 za dunia ya kwanza na hadi sasa kazishinda huo ndio uanaume tunaozungumzia
 
mmi nilichosema ni kwamba neta nyahu hana vita ndogo hata green brigade wakimzingua analeta vifaru , manowari za kivita submarines na wahuni kibao wa special forces yeye haangalii wewe unauwezo namna gan that was my point kwamba putin na neta nyahu ni war mongers iwe wanashinda au wanashindwa ila ni watu wa vita
 
U r right
 
Kwa hali inavyoendelea Ukraine inaenda kufanywa kifusi muda si mrefu. Nadhani NATO wangemshauri Zelensky aachane na hii vita.

View attachment 3017569
Na mabomu ya huyu mkorea yanavyotifua aiseee lamamayeee😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️Ukraine kazi anayo.
Ila juzi Vladimir Putin aliongea akisema yuko tayari kusitisha vita kama Ukraine atakubaliana na masharti mawili kama ifuatavyo;
1)Aondoe vikosi vyake katika miji ambayo Russia kainyakua.
2)Atambue maeneo aliyonyakua Russia kipindi cha mapigano kuwa ni sehemu ya mipaka ya Russia ikiwemo Crimea sio sehemu za Ukraine tena.
Je,haya makubaliano yatawezekana kweli!?
 
Back
Top Bottom