t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Inawezekana ikachukua muda, ila sioni kama boeing wanaweza ku recover kwenye hii bad reputation, wamekutwa na bahati mbaya sana ya kibiashara.Si kirahisi hivyo, mbali na civilian airplanes, bado boeing wana tender za majeshi na mambo mengine. Itachukua time sana