The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
- Thread starter
- #141
Mda huo Watanzania watakuwa wapi Hadi Watanganyika Walipe?ila watakaolipa ni WATANGANYIKA. hii nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda huo Watanzania watakuwa wapi Hadi Watanganyika Walipe?ila watakaolipa ni WATANGANYIKA. hii nchi hii.
Usiloloijuwa ni usiku wa kiza:Kumbe nao Zanzibar wanapenda hela za makafiri😁😁😁😁😁
FaizaFoxy
You are right.Mungu wa kikristo na waislamu ni tofauti.
- Mungu wa kikristo anasikia lugha zote, unaweza kumuomba kwa kutumia lugha yoyote ile unayotaka wewe na huwa hatetewi.
- Mungu wa waislamu anasikia lugha moja tu ya kiiarabu na anatetewa ndiyo maana Kuna mahakama za kadhi.
Kuhusu Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Hapa waislamu walitaka kuaminisha watu kuwa ni mtu kumbe ni watu wawili tofauti.
Yesu kristo - Hana dini, alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe, alisurubiwa msalabani, akafa, akafufuka na akapaa mbinguni. Habari zake utazipata kwenye Mathayo, Luka na Yohanna.
Issa ni muislamu, alizaliwa chini ya mtende na alipaa.
Waislamu huwa wanajaribu sana kuaminisha watu ila ishashindikana. Mimi mpk kesho huwezi kunishawishi. Nianze kuswali kwa kiarabu, mungu gani huyo anasikia lugha moja? Hapo Zanzibar, ikifika ramadhani wanaanza kuchapa watu viboko. Dini gani hiyo ya kuchapana viboko?