Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

Huo ni usanii tu. Siyo siri mapapa akina Rostam, Subhash Patel, Manji, Jeetu na wengineo ambao ni mapapa walichangisha mabilioni yaliyotumika kuwanunua wajumbe. Hulijui hili wewe!? Uliza utaambiwa! Unafikiri kwanini wote hawa hawaguswi pamoja na kuwa kuna ushahidi wa kutosha dhidi yaokuhusu ufisadi!?

Kama ni hao na unazo data za ufisadi wao si wapeleke Mahakamani! na kama wao ndio hivyo walivyofanya kabla ya JMK kuwa Rais basi ina maana waliuanza huo ufisadi kabla ya JMK, jee ni wakati gani? Jibu nadhani unalo na halina ubishi, utakalo jibu mie ntakubali. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli tu.
 
...Mkulu Zakumi, Je, hiyo ni moja la lile fungu la marudisho ya EPA?... seriously!

...Serikali ni mwezezashi, kwanini iwe sirisiri kutangaza kuwawezesha top graduate 10 tu kutoka pale na kuwapa 50Mill kila mmoja (again, fungu la EPA) na kuwatengea maeneo huku wakiwatafutia market Korea, Uarabuni, n.k. na sehemu za kununulia machinery kwa bei nafuu huko Uisraeli?!

Steve D:

Hakuna siri yoyote na sasa hivi imepitishwa sera ya kuwakopesha mikopo ya pembejeo mpaka watumishi wa umma.

Na mipango hii imekuwepo kabla ya kashfa ya EPA. Ni vitu vinavyojulikana. Matatizo ya watanzania waliosoma ni longolongo na kung'ang'ania dili.
 
Hayo ya kuwajibisha na kuwajibishwa nimeshayajibu katika post hiyo hapo juu, sitaki kuyarudia.

Nyerere, aliikuta Dar Es Salaam nzuri kama mtoto, na kama ilivyo.Hakuna alichokiongeza wala kuwa na nadharia ya kuongeza. Uozo wa Dar Es Salaam wa hivi sasa unatokana na huko nyuma (Kwa Nyerere). Na Dar Es Salaam ilianza kuharibika wakati wa Nyerere. Tuulize sisi tuliozaliwa na kukulia hapa tukueleze! Hakuna muundo mbinu mpaya wowote alioufanya Nyerere Dar Es Salaam utaozidi asilimia moja ya aliyoyakuta.
kajenga UDSM
na kukusomesha bure wewe na viongozi walioko sasa madarakani
hiyo ndio inaitwa long term planning (kawasomesha bure badala ya kufanya kazi kwa bidii mnaendelea kuiibia taifa letu)
 
kajenga UDSM
na kukusomesha bure wewe na viongozi walioko sasa madarakani
hiyo ndio inaitwa long term planning (kawasomesha bure badala ya kufanya kazi kwa bidii mnaendelea kuiibia taifa letu)

..ondoa uwendawazimu wako,hiyo bure pesa katoa mfukoni mwake au ni kodi ya wananchi na madeni tunayoyalipia mpaka leo,bora zile shule angewaachia hao wakoloni waziendeshe wenyewe na ajenge za kwake ndio uongee hizo pumba zako!
 
Steve D:

Hakuna siri yoyote na sasa hivi imepitishwa sera ya kuwakopesha mikopo ya pembejeo mpaka watumishi wa umma.

Na mipango hii imekuwepo kabla ya kashfa ya EPA. Ni vitu vinavyojulikana. Matatizo ya watanzania waliosoma ni longolongo na kung'ang'ania dili.

Dili za kuuza NBC, kuingiza Richmond, Radar, IPTL, n.k. zote zimetendeka katika highest echelon za uongozi nchini humu. Hamna aliyewajibishwa ipasavyo. Huoni kuwa hiyo ni blank cheque kwa class za kilalahoi yakwamba, kufanya dili ni sera endelezi na kuwajibishwa ni kama hakupo vile...
 
kajenga UDSM
na kukusomesha bure wewe na viongozi walioko sasa madarakani
hiyo ndio inaitwa long term planning (kawasomesha bure badala ya kufanya kazi kwa bidii mnaendelea kuiibia taifa letu)

Laiti ungallijuwa history ya UDSM, usingesema hayo.

Wakati mimi nasoma kulikuwa na ada ya Shillingi 33 kwa mwaka au Shillingi 11 kwa term (primary), baada ya hapo nikaenda kusoma nje ya Tanzania, si kwa fedha za Serikali. Kumbuka, enzi hizo za ubepari (Kabla ya Azimio la Arusha), kama ilivyo tena sasa, ilikuwa ni sifa kwa watu wa Dar Es Salaam kupeleka watoto wao Ulaya kwenda kupata masomo zaidi, kama vile ilivyokuwa kwa nyinyi wa bara kuletwa hapa Dar.

Waliosomeshwa bure na Nyerere nadhani unawajuwa, kwa kuchaguliwa na vigezo vya kuchaguliwa nadhani unavijuwa.
 
Hayo ya kuwajibisha na kuwajibishwa nimeshayajibu katika post hiyo hapo juu, sitaki kuyarudia.

Nyerere, aliikuta Dar Es Salaam nzuri kama mtoto, na kama ilivyo.Hakuna alichokiongeza wala kuwa na nadharia ya kuongeza. Uozo wa Dar Es Salaam wa hivi sasa unatokana na huko nyuma (Kwa Nyerere). Na Dar Es Salaam ilianza kuharibika wakati wa Nyerere. Tuulize sisi tuliozaliwa na kukulia hapa tukueleze! Hakuna muundo mbinu mpaya wowote alioufanya Nyerere Dar Es Salaam utaozidi asilimia moja ya aliyoyakuta.

Ni miaka zaidi ya kumi tangu atangulie, na ni miaka zaidi ya ishirini tangu atoke madarakani; Kama kuna viongozi wa kweli, kimeshindikana kipi ku-reverse huo "uozo" unaosema kauacha Nyerere?!
 
Dili za kuuza NBC, kuingiza Richmond, Radar, IPTL, n.k. zote zimetendeka katika highest echelon za uongozi nchini humu. Hamna aliyewajibishwa ipasavyo. Huoni kuwa hiyo ni blank cheque kwa class za kilalahoi yakwamba, kufanya dili ni sera endelezi na kuwajibishwa ni kama hakupo vile...

SteveD:

Nakubaliana na wewe kabisa. Lakini zinapotokea nafasi kwa wewe mwananchi kuzitumia ni lazima uzifanyie kazi na sio kupiga longolongo.

Imani yangu ni kuwa katika kipindi hiki tunachopiga kelele ni lazima sisi wenyewe tuonyeshe juhudi.

Kitabia waTanzania tumefikia kiwango cha waMarekani weusi. Tunadai jinsi gani serikali ifanye mambo lakini hatutaki kuchukua personal responsibility.
 
Nakubaliana na wewe Nyerere hakuiuza nchi, Nyerere kaiuwa nchi, katika kipindi chake. Na kaigawa bure. Unajuwa kuwa leo Tanzania ni nani anaehodhi Ardhi kubwa kuliko mwengine yeyote? wa kwanza ni Kanisa!, Kanisa Katoliki, walipewa na nani bure hiyo Ardhi? wakati Kanisa Katoliki ni Nchi na Makao yake Makuu ni Vatican na ina ubalozi wake hapa Tanzania. au hilo hulijui?

....ushaanza mambo yako tena. Leo hii tunaongelea Wakorea, hawa watu hawana dini za kishabiki shabiki tulizozoea sisi mkuu!! Ardhi ya Watanzania kwanza, mambo ya Imani baadae!
 
Nafikiri huyu Governor wao ana make sense kidogo,lakini ukweli kilimo cha peasant hakiwezi kuondoa umaskini,nafikiri kilimo kwa TZ kina weza kuondoa umaskini zaidi ya utalii na madini lakini lazima kuwatumia watu wanaojua kilimo,Zimbabwe ilikuwa haina kitu zaidi ya hawa commercial farmers ambao walikuwa ndio wanaendesha uchumi wa nchi na kwa waliofika harare kabla ya Mugabe kuiharibu atakubali jamaa walikuwa tofauti na nchi zilizoendelea/states...tuna ardhi nzuri sana mikoa ya kusini ya kuweza kuondoa njaa na kuweza kuuza nje na kutoa ajira kwa mamilioni lakini lazima kama tuna taka tushirikiane na serious investors sio blah blah za kina Richmond!

Tsonga Project: Assessing Gains of Commercial Farming
This Day (Nigeria) | 01.27.2009
When the Kwara State Government invited the displaced Zimbabwean farmers to the state for the Tsonga farming project, many thought it was another white elephant exercise. But with the series of awards garnered by the government on the success of the scheme, it means that it can never be ignored. Tunde Sanni looks at the project, the initial knocks and the plethora of awardsGovernor Bukola Saraki of Kwara State saw the golden opportunity in good time when President Robert Mugabe of Zimbabwe drove away the white farmers and their tractors from his country during the country’s controversial land redistribution policy. Saraki never failed to grab that opportunity.
Nigeria is not the only African country that wooed the 4,000 white farmers who had been displaced, but through Saraki’s first move, the country won the ‘bid’ for the farmers. There were overtures on the commercial farmers from Ghana, Tanzania and Malawi. The governor admitted sending emissaries to woo the farmers for the country and his state.
The new farmers were settled on a land leased arrangement for 25 years around the new farming community of Tsonga village, an underdeveloped region of the gentle green hills near the state’s northern border. But the locals apparently ignorant to the actions of the governor resisted and boasted that the farmers would never be settled in their community. They vowed never to allow the white farmer a breathing space in their community, calling them neo-colonialists who, under the guise of commercial farming wanted to colonise them the second time.
They also feared that the Zimbabweans would steal their land, introduce South African-style apartheid, and exploit their resources. But Saraki was able to convince the local communities on the gains of the agricultural project. He said, “A small number of farmers cannot come out and colonise 1.2 million people in Kwara State. If we had a Nigerian who had the expertise and who can do it, it would be a different matter. No matter what we do in Nigeria, if we don’t improve agriculture we are not going to fight poverty.”
The initial minor fight later on turned bloody as the locals employed the services of their hunters and other marksmen to repel the farmers and of course the agents of the government, which included the police who were deployed to bring the situation under control. Saraki soon retreated to a new strategy, a strategy of financial collaboration and incentive, which included employment of the locals by the farmers as well as handsome financial payback for those who would be displaced by the white farmers.
With the apparent irresistible incentive, the stiff opposition of the locals soon became tampered and gradually, the governor, with the aid of the village monarch, Haliru Yahya, a world-class medic started winning the restive locals to their side and with that began an agricultural revolution that has continued to bring more laurels to the state and his person.
The arrowhead of the opposition against the project, Alhaji Muhammad Ndagi, the Galadima of Dumagi, with the Saraki new onslaught, at a press briefing rallied his community behind the scheme and apologised for the negative attitude to the project and pledged his full support for the commercial farming scheme. The Galadima of Dumagi however urged the state government to fulfill its own side of the agreement by paying compensation promptly to those who gave up their farmlands.
Dumagi was one of the villages in Tsonga district that contributed land to the project. Before the Ndagi press briefing at the time, the displaced farmers had received various sums of money as compensation totaling N86 million in the first phase. N35million compensation was paid for the second phase of the settlement, apart from the farmers being provided alternative land nearby to continue farming.
The alternative farmlands were prepared for cultivation by the state government, which also provided the affected local farmers with seedlings, fertilisers and chemicals at a cost of about N60 million. The governor gave out free bicycles to the displaced farmers, while others benefited from free training on mechanised farming from agric extension agents. The goal of the governor is to use the farmers to kick-start Nigeria’s moribund agricultural sector.
Led by Allan Jack, the farmers with their wives started arriving in Tsonga in batches. However, jolted by Mugabe’s action, one of the evicted farmers, Dan Swart, had told newsmen how he and four other white farmers left Zimbabwe to start another life in Nigeria. “I had a tobacco farm in Zimbabwe that employed about 450 people, but I was chased away two years ago. Then we were given the offer to come to Nigeria.”
Though the country has an abundance of fertile land, her citizens have found out that successive government complacence, as a result of the discovery of oil in the Niger Delta, has relegated farming to a scandalous second position, necessitating in the importation of some food items into the country. The last time Nigerians laughed on the dawn of agricultural revolution was during the Operation Feed the Nation policy of the General Olusegun Obasanjo regime.
An attempt by the succeeding Shehu Shagari administration with the introduction of the Green Revolution only witnessed a legacy of corruption and misplaced priorities as the principals in the ruling government of the defunct National Party of Nigeria (NPN) were only interested in the monetary release rather than the success of the policy.
With the dearth of mechanised farmers, hordes of retired military and political office holders who had the capital to invest came into mechanised farming, while peasant farmers tilled majority of the nation’s farmlands. The peasant farming groups don’t have the capital for mechanised farming or the ability to raise credit from banks.
Saraki who recovered from the hiccups posted by the locals boasted, “in about 10 years’ time, Kwara will be the backbone for Nigeria’s agricultural drive and we need to have commercial farmers to do that.
“We thought those Zimbabwe farmers don’t want them. I’m sure they’d rather stay in Africa than go somewhere else. So we sent someone to talk to them.” The plan was to have 15 Zimbabweans moving to Kwara this month. They will initially live in the bush in tents while they build their homes. Then, as the months’ progress, more farmers and their families should fly out with the calculation that within a decade, as many as 100 farmers could be based in Kwara.
“I hope in about 10 years’ time our airport will be busy and young chaps coming out of university will think about going into farming. Banks will invest in the agricultural sector. And Kwara will be the backbone for Nigeria’s agricultural drive,” said.
With the fear that the farmers might not be able to get the financial muscle needed for the project, Saraki soon mobilised the then Federal Government to the aid of the farmers. With loans of up to $250,000 to get started and 50-year leases, they each established commercial farms of 1,000 hectares. The white farmers are planning to add dairy, beef, cattle and to grow fruit, flowers and vegetables for export to Europe. He took the farmers to Aso Rock where Obasanjo, himself a mechanised farmer before the travails and gains of life received the farmers with fanfare and even promised his administration total support for the project.
The agrarian environment wore a political look the day Obasanjo led the federal team to the community and from then on, all forms of hostilities and rejections against the project ceased and the commercial farming project which a year on at the signing of the Memorandum of Understanding (MoU) with the white farmers, had its name changed to Kwara State Commercial Agriculture Project (KWACAP).
The former president put the blame for the poor investments in agriculture in Nigeria on the commercial banks that he noted “are not really prepared to understand what farming entails in terms of financial support. He appealed to banks to see how the rural areas can be activated, can be made to create jobs, can be made to develop.” He canvassed a summit of governments, farmers, the Central Bank of Nigeria (CBN) and commercial banks on how to generate financial support for serious farmers at the affordable interest rate. All categories of farmers, he said, “must be supported”.
Obasanjo who spoke moments after a tour of the farms praised the accommodating and hospitable nature of the host communities and commended them for rising above primordial sentiments, in spite of the misleading insinuations at the initial stage. “What else could be the essence of land if not for productive use? The former president hinted that plans have been concluded by the Federal Minister of Agriculture to build 25,000 tonnes silos for the storage of grains in Kwara and neighbouring states and pointed out that the effort will go along way to remove the seasonal nightmare of incessant waste of farm produce as a result of lack of storage facilities.
“The present generation of farmers is too old to carry on the rigorous business. Thus, there is an urgent need for successor farmers to inculcate new ways of doing things, modern ways of doing things,” Obasanjo said. Saraki at the occasion admitted that the commercial farming project was a high-risk initiative to “create employment and reduce poverty, by first boosting food production and developing the small and medium scale agro-allied industry. The initiative became expedient in view of the fact that 75 per cent of our people in formal employment are in the civil service. Kwara State is dangerously dependent on Federal allocations for running the government and propagating social development.”
He said company and income taxes generated in the state is just about 20 per cent of the state’s annual earnings, which further emphasises the precarious financial position of the state. He predicted a situation where street-side electronic shops and sellers of household items would enjoy more sales, therefore indicating their knock-on effects of this project.
The project has the capacity to generate immense opportunities. Saraki however hinted that “learning and transfer of skills to our local farmers” are part of the many benefits of the new initiative.
 
SteveD:

Nakubaliana na wewe kabisa. Lakini zinapotokea nafasi kwa wewe mwananchi kuzitumia ni lazima uzifanyie kazi na sio kupiga longolongo.

Imani yangu ni kuwa katika kipindi hiki tunachopiga kelele ni lazima sisi wenyewe tuonyeshe juhudi.

Kitabia waTanzania tumefikia kiwango cha waMarekani weusi. Tunadai jinsi gani serikali ifanye mambo lakini hatutaki kuchukua personal responsibility.

..just imagine kwenye familia ambapo mzazi hata siku moja hakubali kukosolewa wala kukubali makosa. Unategemea probability ya kiwango gani kwa mtoto kukua na kuwa a transparent and responsible adult?
 
Laiti ungallijuwa history ya UDSM, usingesema hayo.

Wakati mimi nasoma kulikuwa na ada ya Shillingi 33 kwa mwaka au Shillingi 11 kwa term (primary), baada ya hapo nikaenda kusoma nje ya Tanzania, si kwa fedha za Serikali. Kumbuka, enzi hizo za ubepari (Kabla ya Azimio la Arusha), kama ilivyo tena sasa, ilikuwa ni sifa kwa watu wa Dar Es Salaam kupeleka watoto wao Ulaya kwenda kupata masomo zaidi, kama vile ilivyokuwa kwa nyinyi wa bara kuletwa hapa Dar.

Waliosomeshwa bure na Nyerere nadhani unawajuwa, kwa kuchaguliwa na vigezo vya kuchaguliwa nadhani unavijuwa.

...Daaaaym! man, you're such a separatist!
 
Ni miaka zaidi ya kumi tangu atangulie, na ni miaka zaidi ya ishirini tangu atoke madarakani; Kama kuna viongozi wa kweli, kimeshindikana kipi ku-reverse huo "uozo" unaosema kauacha Nyerere?!

Waliokuwa kabla ya JMK walikuwa hawana nadharia na ni hivi katika kipindi cha JMK tumemsikia akitangaza kuwa Dar Es Salaam itarekebishwa na kuwa mji wa kisasa na ameshasema wale itakaobidi wabomolewe kwa kupanuwa mabarabara wasichukie ndio moja ya tafrani za maendeleo na tunajuwa kuwa Kigamboni kunajengwa mji wa kisasa, haya yote ni jitihada za JMK, ambazo hakuna wa kabla yake aliezifanya, labda Mwinyi alitukarabatia baadhi ya barabara za Kariakoo ambazo wakati Nyerere anatwa hii nchi kutoka Umoja wa Mataifa, zote zilikuwa ni lami tupu.
 
...kwa hiyo watu wa Msimbazi bondeni, Vingunguti, Migomigo na Mikorosheni watahamia kwenye highrises Kigamboni, au?!
 
...kwa hiyo watu wa Msimbazi bondeni, Vingunguti, Migomigo na Mikorosheni watahamia kwenye high risers Kigamboni, au?!

Yes, baadhi yao, sio wote na huko walipo hivi sasa kama Vingunguti, Migo Migo, na Mikoroshoni tutayaona maendeleo, wenye fedha zao wanazidi kuenea, tunaona wenye fedha wakinunuwa Nyumba za Magomeni (wengi wao ni wale waliohamishwa Kariakoo kupisha wenye nazo na wao wanawahamisha wa Magomeni na kwingine, na ndivyo mji unavyozidi kupanuka.

Na ndipo hapo JMK anasema zichukuliwe jitihada za haraka sana kupanuwa mabarabara, tuliona kwenye magazeti design za flyovers na mabarabara ya kisasa (kwa kwetu) yanayokuja Dar.

Katika kipindi hiki Cha JMK tutaona Kigamboni inavyobadilika na kuwa mji wa Kisasa, tutaona Dar inavyobadilika na kuwa Mji wa Kisasa.

Kwa muda mfupi tu wa JMK tunaona taa za barabarani (street lights) zinaanza kurudi, ambazo kwa wenyeji wa zamani wa Dar tunajuwa Nyerere alizikuta, kila mtaa uliokuwepo siku hizo ulikuwa na taa barabarani. Zikafa tokea wakati wa Nyerere, bwana Mwinyi akapewa kamsaada na wa Japan wakazi rehabilitate za Kariakoo, zikafa kwa mashirika yetu ya Umma kutowajibika.

Sasa katika kipindi hiki cha JMK tunaona zinawaka na zinaendelea kuja tena kwa kasi na ni za uhakika na si Dar tu, mpaka mikoani zinaanza kuzagaa. Na hivi karibuni nimeona vitu vya JMK, mataa mapya ya kuendeshea magari (traffic lights) za kisasa zinaanza ku-replace zile mbovu zilizoachwa bila matengenezo toka awamu zilizopita.

Jee, yote hayo huyaoni?

Dar Es Salaam, wakati anaichukuwa Nyerere, kulikuwa kuna taa za kila namna za kuongoza magari na watembea kwa miguu kama unazoziona Uingereza (kama umebahatika kuziona) katika baadhi ya mitaa.

Kulikuwa kuna Parking meters mitaa ya pale uhindini, ndio palikuwa commercial center, mabara bara yalikuwa masafi kuliko unavyofikiria, Tuliokuwa tunaishi Kariakoo, yote ilikuwa lami tupu, taa barabarani mitaa yote yote, tulikuwa enzi hizo tukicheza ndiki mpaka saa mbili au zaidi za usiku. Kweupeee kwa mataa. Tukikuwa tukipigiwa madawa ya kuzuia mbu na maradhi mengine periodically, ndani ya majumba na nje mitaani, miferejini, vichochoroni, bure. Hayo yote yalitoweka wakati wa Nyerere.

Usitukumbushe tunalia.
 
Sawa, nikubaliane nawe kuwa Mwl. aliondoa taa mabarabarani, kunyofoa parking meters na kuziba mifereji. Maana hayupo hapa kuweza kujitetea. Lakini kuvirudisha vitu kama hivi inahitaji miaka mingapi, 20, 30, au?!!

Mapato tu pekee ya pale stand ya mabasi ubungo kama yangelikuwa yanasimamiwa ipasavyo na kwenda kwenye mfuko wa halmashauri, leo hii tungelikuwa na maUDA na hizo parking meters zingelikuwa operational mpaka Kawe Tangini. Lakini cha kushangaza hao unaowataja kama visionaries wa jiji, wengi wako implicated kwenye scandals kubwa za ufisadi. Na kwa pale Ubungo, hata ripoti ya CAG inasema kuna ubadhirifu.

Kingine unachosahau ni vita vya NDULI. Bila jitihada za wanabara na jemedari Nyerere leo hii hapo Kigamboni huchelewi kukuta watu wangelikuwa wanaongea Kiganda kama lugha ya Taifa. Backing ya Shekh Gadaffi kwa Nduli ndiyo uilaumu, kwani gharama za kumwondoa Nduli na kuhakikisha hela yetu inabakia stable iliongezeka. Bila yeye mpambano usingechukua muda mrefu. Sasa hapa ni mambo ya priority. Je, ungelipendelea lipi - Kulazimishwa kuongea Kiganda na Nduli na kuacha kuongea Kizaramo? Kuhakikisha ukabila unasambaratishwa kwa kufanya Kiswahili kuwa lugha ya Taifa au kuwa na parking meters?!
 
Yes, baadhi yao, sio wote na huko walipo hivi sasa kama Vingunguti, Migo Migo, na Mikoroshoni tutayaona maendeleo, wenye fedha zao wanazidi kuenea, tunaona wenye fedha wakinunuwa Nyumba za Magomeni (wengi wao ni wale waliohamishwa Kariakoo kupisha wenye nazo na wao wanawahamisha wa Magomeni na kwingine, na ndivyo mji unavyozidi kupanuka.

Na ndipo hapo JMK anasema zichukuliwe jitihada za haraka sana kupanuwa mabarabara, tuliona kwenye magazeti design za flyovers na mabarabara ya kisasa (kwa kwetu) yanayokuja Dar.

Katika kipindi hiki Cha JMK tutaona Kigamboni inavyobadilika na kuwa mji wa Kisasa, tutaona Dar inavyobadilika na kuwa Mji wa Kisasa.

Kwa muda mfupi tu wa JMK tunaona taa za barabarani (street lights) zinaanza kurudi, ambazo kwa wenyeji wa zamani wa Dar tunajuwa Nyerere alizikuta, kila mtaa uliokuwepo siku hizo ulikuwa na taa barabarani. Zikafa tokea wakati wa Nyerere, bwana Mwinyi akapewa kamsaada na wa Japan wakazi rehabilitate za Kariakoo, zikafa kwa mashirika yetu ya Umma kutowajibika.

Sasa katika kipindi hiki cha JMK tunaona zinawaka na zinaendelea kuja tena kwa kasi na ni za uhakika na si Dar tu, mpaka mikoani zinaanza kuzagaa. Na hivi karibuni nimeona vitu vya JMK, mataa mapya ya kuendeshea magari (traffic lights) za kisasa zinaanza ku-replace zile mbovu zilizoachwa bila matengenezo toka awamu zilizopita.

Jee, yote hayo huyaoni?

Dar Es Salaam, wakati anaichukuwa Nyerere, kulikuwa kuna taa za kila namna za kuongoza magari na watembea kwa miguu kama unazoziona Uingereza (kama umebahatika kuziona) katika baadhi ya mitaa.

Kulikuwa kuna Parking meters mitaa ya pale uhindini, ndio palikuwa commercial center, mabara bara yalikuwa masafi kuliko unavyofikiria, Tuliokuwa tunaishi Kariakoo, yote ilikuwa lami tupu, taa barabarani mitaa yote yote, tulikuwa enzi hizo tukicheza ndiki mpaka saa mbili au zaidi za usiku. Kweupeee kwa mataa. Tukikuwa tukipigiwa madawa ya kuzuia mbu na maradhi mengine periodically, ndani ya majumba na nje mitaani, miferejini, vichochoroni, bure. Hayo yote yalitoweka wakati wa Nyerere.

Usitukumbushe tunalia.

Na kipindi cha Al Haj Mwinyi jee? Nadhani bila shaka utasema barabara, mataa ya kuongoza magari, mataa ya barabarani, ma-parking meters ya uhindini na ustawi wa Waswahili kwa ujumla yooote yalikuwa tambarare kwa mbele hadi alipoingia Mkapa na kuvuruga kila kitu kama kawa...halafu, alhamdulilaaah, kwa nguvu za Mwenyeez Alaah, akaja Kikwete ambaye tena akanyoosha mambo, au siyo?!
 
Kama ni hao na unazo data za ufisadi wao si wapeleke Mahakamani! na kama wao ndio hivyo walivyofanya kabla ya JMK kuwa Rais basi ina maana waliuanza huo ufisadi kabla ya JMK, jee ni wakati gani? Jibu nadhani unalo na halina ubishi, utakalo jibu mie ntakubali. Lakini ukweli unabaki kuwa ukweli tu.

Nipeleke kwenye mahakama zilizojaa usanii! Hizo kesi za EPA, Richmond nanga inapaa ufisadi wa Mkapa kujiuzia nyumba za serikali na mawaziri wake na mgodi wa Kiwira bado wanajitahidi kupulizia kadri wanavyoweza. Rostam na utapeli wake wa Richmond/Dowans hadi leo hajaguswa. Utapeli wa kununua rada ya kifisadi na kuna ushahidi wa kutosha kwamba Chenge Vijisenti na Idrissa Rashid walipokea rushwa katika ununuzi ule bado wahusika wanapeta uraiani. Yule Vethlani alikuwa anahojiwa na vyombo vya dola badala ya kumuweka rumande wakati anavisaidia vyombo vya dola katika uchunguzi wao, lakini wakampa upenyo makusudi ili asiwachome vingunge wahusika aliokula nao zile $12 millioni.

Sasa huu ufisadi wa kuingia Ikulu 2005 ndiyo unadhani utashughulikiwa na hizi mahakama za kishkaji!!? Huoni kama hapa kuna pattern ya kuficha kila madhambi yanayowahusu mafisadi!? Au na wewe ni mmoja mafisadi hao huoni dhambi zozote!? Acha hizo za kutaka kuufumbia macho ukweli uliojidhihirisha.
 
Back
Top Bottom