Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mmmhh inawezekanaje hii kitu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye gari akose kitamburisho?Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea Dsm. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani, ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.
Lakini ukimtukana maderu hata shati lako watalitambua kuwa ni wewe ulikuwa nalo siku moja kabla!Tanzania ni nchi hovyo sana, Utakuta TRA hawajui hiyo gari ni ya nani, Polisi nao hawana Taarifa, basi tu mradi tunaishi
Hakuna Polisi wanaohusika na ulinzi wa watu na mali zao?Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani, ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.
HatariPolice hakuna hapo Korogwe?inji hii bwana
Hebu tueleze wewe ilivyokua.Mengi Sana na jamaa ameleta kiushabiki eti marehem amezikwa baada ya kushindwa kutambulisho hapana siyo kweli kbsa hi hbr
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Radio na TV nazo hawakuona zinafaa kuwatafuta ndugu!!Hata mitandao ya kijamii nayo haikuwasadia kumtambua jamaa, so sad.
Inchi hii hawana muda huo,Home affairs nao wameshindwa kumtambua marehemu kwa kuangalia ID number yake, maana definitely alikua na driving license yenye ID number na pia why waweke maiti for only 7days?
Weka picha tuone namba za gari na gari yenyewe.Korogwe Mjini, Tanga Karibu na Magereza, Kuna raia alikuwa na gari private akisafiri kuelekea Moshi kutokea DSM. Gari ilipata ajali barabarani kabisa kabisa na bar maarufu iitwayo the spirit, karibu na Magereza Korogwe.
Abiria alipelekwa Hospital ya Wilaya Magunga na akafariki the same day. Baadae akawekwa Mochwari kwa siku 7 then akazikwa Korogwe baada ya kukoseakana ndugu kumtambua.
Sasa gari ipo barabarani, ya silver na inatolewa vitu kidogo kidogo roughly.
Shida sana.
Tena alikuwa fresh tu, na tuliona sura ya mwisho(Hanspope).Inasikitisha sana, traffic case,polisi kitengo cha usalama barabarani walishindwa kuwajibika kwa kulipeleka gari polisi?
Maiti ya dereva,kwanini waiweke siku saba tu,wakati maiti za watu mbalimbali hukaa muda zaidi ya huo?
Rejea mwili wa baba yake Hans Pope,ulikaa Uganda miaka na miaka mingi sana,na ndo ukaja kuzikwa huku, trafiki naona kama wanaweka mgomo flani hivi,kutokana na kauli za wanasiasa.R.I.P.
Hio mitandao ya kijamii unafikaje bila password Kuna smart haina password? Kingne ungeweza weka laini kwa simu yako ikae on usubiri mtu yoyote akimtafuta umpe taarifa lkn pia mitandao siku hizi laini kuwaka ni lazima uweke PiN huu nao ni upumbavu viongozi wetu hawawezi fikiria Kama Kuna majanga Kama hayo hao wanachowaza ni kuibiwa tuWalishindwa hata kumtambua mmiliki wa hiyo gari ni nani??
Vipi kuhusu kuitumia simu yake kuwapata ndgu, jamaa au marafiki!??
Hata mitandao ya kijamii nayo haikuwasadia kumtambua jamaa, so sad.