Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

A
cheni ushabiki wa kijinga! Uchumi wa Dunia umeyumba kutokana na pandemic. Central bank zote duniani zimeshusha riba. Siyo shariti ni maazimio yanayotokana na anguko la uchumi duniani. No vema mkafanya utafiti badala ya kuandika Kwa mihemuko
 

3.4% Mortality Rate estimate by the World Health Organization (WHO) as of March 3
In his opening remarks at the March 3 media briefing on Covid-19, WHO Director-General Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus stated:

Globally, about 3.4% of reported COVID-19 cases have died. By comparison, seasonal flu generally kills far fewer than 1% of those infected

Amandla...
 
Mwendo ni wa kasi, cha ajabu dereva wa roli letu kaamua kuzimu taa za mbele - giza ni totoro...hakuna uelekeo....sasa kila mmoja ni kutumia mbinu zake za medani kujiokoa.
 

Kudos ZZK. It could not be better!

Umeiwasilisha vilivyo. Tusisubiri kufa tukijiona na tukiwa tumekaa kusubiri. Heri kufa tukipambana.

Ilikuwa muhimu kuunganisha nguvu vilivyo tokea vyamani. Mashirikiano across parties ni muhimu zaidi sasa kuliko wakati mwingine wowote.

After all na kwa mtaji huu, Corona itatudondosha tu anyway. We have absolutely nothing to lose as we all are already as good as dead!

Masikio kwenu viongozi wetu mbadala.
 
HAWA NDIO AINA YA VIONGOZI WANAOPASWA KUWA SERIKALINI ILA CHA AJABU HAWAPEWI NAFASI HIYO,
BADALA YAKE TUNA WALE WAZEE WA NDIO MZEE AINA KABUDI NA GENGE LAKE
 
Lini umeanza kujali watu?
 
Zitto na mbowe mnapaswa mchange karata zenu upya! Kwenye hili la korona mmeonyesha udhaifu mkubwa sana.
 
HAWA NDIO AINA YA VIONGOZI WANAOPASWA KUWA SERIKALINI ILA CHA AJABU HAWAPEWI NAFASI HIYO,
BADALA YAKE TUNA WALE WAZEE WA NDIO MZEE AINA KABUDI NA GENGE LAKE
Apewe nafasi na nani? Ajipe mwenyewe...
 
Ili pawe na herd immunity inakisiwa kuwa angalau 2/3 ya population iambukizwe. Kama population yetu ni 60,000,000 hii ina maana kuwa ni lazima angalau watu milioni 40 waambukizwe. Ukichukue hesabu za WHO, 3.4 % ya wanaoambukizwa huwa wanafariki. Hii inamaana kuwa ili tupate herd immunity inabidi tukubali kuwa watu 1,360,000 wafe. kwa vile mwaka 2012 mkoa wa Njombe ulikisiwa kuwa na watu 702,097, sidhani kama hadi leo watakuwa na watu zaidi ya milioni moja. Badala ya kumbeza Zitto tuangalie hoja zake kuwa kwa hivi sasa gharama za kufikia herd immunity ni juu mno. Wana sayansi wengi wanakubaliana kuwa juhudi hizo ni lazima ziende sambamba na juhudi za kupata kinga. Sasa kama tumekubaliana kuwa COVID-ORGANICS na ile ya NIMR pamoja na nyungu zinatoa kinga ya kutosha basi tunaweza kuruhusu watu waambukizwe kwa kasi iwezekanavyo ili tupate hiyo herd immunity.

Amandla...
 
SWEDEN WAMEFANYA KAMA HAPA PIA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni kweli kuwa Sweden wana strategy ya kulenga kwenye kupata herd immunity. Strategy hiyo imewabidi wakubali idadi ya vifo ambayo ni juu sana ukilinganisha majirani wake ambao wana "soft lockdown". Aidha ukumbuke kuwa infrastructure ya huduma za afya Sweden ni ya ubora wa hali ya juu kiasi cha kuweza kuwasaidia wale ambao wanaambukizwa. Aidha, wakati wanafuata hii strategy wanaendelea kupima na kutoa takwimu zinazohusiana na huo ugonjwa kwa umma. Mfano mwingine wa nchi inayo fuata strategy inayofanana na hiyo ni Brazil ambako matokeo yake hayatii matumaini.

Amandla...
 
Zitto hawezi kuaminika
Kama.alithubutu kuandika.barua WB ili tusipewe mkopo wa elimu,leo anajifanya ana uchungu sana na watanzania
 
Ila Jamani tukiachana na mambo ya Corona, Magufuli sijui anapeleka wapi pesa aisee:

1. Hatoi Ajira ( Anabana Matumizi ).

2. Kafuta Vyeti Feki na Kuwadhulumu Mafao ( Kateka Pesa Zao ).

3. Kazima Fao La Kujitoa na Pension ( Anatoa kwa Mbinde ).

4. Anaongoza Kukusanya Matrilioni.

5. Anapewa Magawio Na Mashirika.

6. Hasafiri na Watu Wake Nje Ya Nchi ( Anabana Matumizi ).

7. Serikali Yake Haifanyi Mikutano Kwenye Mahotel ( Anabana Matumizi ).

8. Haongezi Statutory Annual Increments kwa Watumishi Wala Hawaongezi Mishahara.

Lakini JAMAA SERIKALI YAKE CHOKA MBAYA, HAINA PESA.

Amekopa Mpaka Ananuka MADENI.

Akiweka LOCKDOWN TRA wakikosa hiyo TRILION 1 akalipe MADENI Nchi Inapigwa MNADA Asubuhi tu.
 
Hizi tunaita SAYANSI UCHWARA.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…