Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

Serekal kusema inajali uchum msipotoshe kwamba inajali uchum wa taifa tu Ila inajali pia na uchum wa wananch wake Ila pamoja na yote upotoshaj wenu umefel now.

Mmegeukia kwamba serekal inataka ipambane na Corona kwa kutumia Kinga za mwil na kusema kwamba asilimia 3% ya watanzania watakufa japo Sio kweli tunajua mmeanza porojo mwanzo mlisema litaangamia taifa now mnasema watakufa asilimia 3% nyie endeleen kushuka mwisho mtafika kwenye Zoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inaweza kutuficha Watanzania kuhusu mikopo ya ajabu ajabu lakini haiwezi kuwaficha mabeberu..wamewaumbua Hadi wanaomba radhi..

Kumbe BOT kupunguza riba kwa mabenki ni sharti moja wapo la mkopo toka Benk ya Dunia..

Nilitaka nishangae hii serikali toka lini ikawa na huruma na Watanzania kiasi hicho.?
Mkuu tatizo liko wapi ikiwa kwa hilo punguzo hata wewe mwenye mlengo wa kushoto utafaidika? Mimi nilidhani mabeberu yameshinikiza punguzo la riba ili yafaidike nyenyewe

Inabidi tubadilike sana ,tuache negativity zisizokuwa na tija ili mradi tu eti uonekane umeipinga serikali ya awamu ya tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Mh. Zitto, kama Serikali itaamua kuwajali wananchi tu pasipo kuimarisha na hizo shughuli za uchumi, maisha yataendeleaje sasa na hata baada ya hiyo Corona kuisha?

Mfano umetolea takwimu za hasara iliyotokea kwenye sekta ya utalii, bado kuna walimu wa baadhi ya shule za binafsi hawana mshahara kwa miezi za ya miwili sasa kwa sababu ya hiyo Corona! Sasa Serikali isipochukua hatua ya kuyarudisha maisha ya Watanzania katika hali yake ya kawaida, huoni itashindwa kukusanya kodi na tutapoteana zaidi humu nchini?...
Mkuu uchumi tunaweza kuujenga tena Ila hatuwezi kumrudisha mzee mahiga
 
Sisi tumeachagua kufa ,kila mtu atakufa kikubwa maisha lazima yaendelee. Tukutane jumapili samaki samaki

Tusisahau barakoa, kuosha mikono kwa maji na sabuni


It is never too late to begin. Start now
Sasa ukishakufa maisha ndio yanaendeleaje hapo?
 
If you believe you are not safe under current government measures to combat the spread of CORONA Virus, and thus the pandemic COVID-19, why don't you relocate to a safe country of your choice.

Yawezekana umepoteza mwanafamilia, ndugu au rafiki, nikupe pole na kuwaombea roho zao zilazwe pema peponi. Hivyo si vizuri ukaungana nao mapema kabla hujsmajiandaa, ndiyo maana umeanfika kwa uchungu sana.

Tanzania ni salama hadi sasa, maisha yakiendelea kama kawaida vijijini, mijini na hata kwenye makazi ya watu wengi.
Wenzako kichwan wana akili na ubongo wewe ni kifaa cha kusikilia macho na masikio yasidondoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauwakika gani iyo 3%, watu wana shangaza Corona is first experience sasa huyu kabwe anabwatuka tu naona hata WHO ulisema mpaka mwezi huu maiti zitakuwa zimezagaa lakini wapi pia isitoshe licha ya credibility yako kabwe huwezi sema kitu juu ya covid-19 maana naaamini Rais anaushahuri pia anapata na anaresource zote hatakama wengine hatumkubali hii karata hachezi yeyetu ni ss sote kama taifa so get your shit straight.

No research no right to speak let's stop being subjective let's walk the talk. Hata Israel wanafanya herd immunity ili kusurvive we must sacrifice for the greater good
"Serikali ya Magufuli kutumia mtindo wa 'Herd Immunity' kudhibiti Corona, ina maana 3% ya Watanzania wote (sawa na idadi ya watu wa mkoa wa Njombe) WATAKUFA. ACT wazalendo hatutaruhusu Watanzania wenzetu wafe kwa makusudi ya Serikali." Zitto Kabwe

Fuatilia Live #LIVE: ZITTO KABWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI View attachment 1455605

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani likuaga Zitto akiongea vichwa vinasisimka, ila kwa sasa amekua zwazwa kabisa hana hoja na alizonazo hazina mashiko anaongea ongea tu na ka chama kake hakana ata mvuto kwa watu, izo Takwimu za 3% amezitoa wapi kwa Research gani alioifanya? Atuache tafadhali.
 
Ukiacha Dar hakuna mkoa wowote wenye watu zaidi ya laki 500,000. Iyo 7k ya njombe ni kokoto au nn. No research not right to speak. Weka facts not theories maana hata population tu umetupotosha. It's not that easy na pia nchi zote zitajirudi na kufanya tunachokifanya
Corona haijaisha na haitaisha.
Lakini nakuhakikishia hatutafika huko, virus tutamzoea na tutaishi naye kama Mende tu.

Eti watu idadi ya Njombe watakufa, yaani wafe watu laki saba (700,000+) Tanzania mara tatu ya fatalities ya dunia nzima hadi sasa.

Tuwe wakweli, that won't and will never happen.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo tushamzoea ni mwongo

Huyu zito amesoma kiswahili angejikita kwenye vishazi huru kuendeleza lugha yetu

mambo ya sayansi awaachie kina Magufuli wanaoweza kujenga hoja kisayansi dunia ikasimama
Siyo kweli mkuu.
Zitto amesoma EGM = Economic, Geography, Mathematics hakuna kiswahili hapo.
 
THEORIES REALITY IS COVID-19 IS EVERYBODY'S FIRST EXPERIENCE TUONE
Magufuli mwenyewe hajatumia science kwenye hili.
Its more of politics na imani.
No offense huwa nampinga zitto kwa mambo mengi sana. Lakin kwenye heard immunity ni kweli.
Incase hujui jinsi herd immunity inavyo function. Lazima 60% waugue.. ili 40% wabaki.
Lakin kwenye hao 60% nusu yao wanauwezekano wa kupona.. nusu nyingine wanaweza kwenda na maji.

Ni scientific proved .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiacha Dar hakuna mkoa wowote wenye watu zaidi ya laki 500,000. Iyo 7k ya njombe ni kokoto au nn. No research not right to speak. Weka facts not theories maana hata population tu umetupotosha. It's not that easy na pia nchi zote zitajirudi na kufanya tunachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar polpolation ni zaidi ya 6,000,000/ Arusha 1.5 m MZA zaidi ya 2 m....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The jury is still out on this.
Kuna taarifa kuwa kuna watu wamekuwa infected tena baada ya kupona lakini hamna uhakika kama kipimo cha kwanza kilikuwa sahihi. Kwa mantiki hiyo hamna mtu anayejua kama mtu anaepona COVID 19 anapata immunity.

Amandla...
Hii kitu ni controversial sana ngoja tuone mwisho wataconclude vipi
 
Back
Top Bottom