Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohooo hapa tushaanza kupotezanaKwa hiyo? Mwanamke wa Tanzania anategemewa kupata watoto 5.2 hivyo 3% wakifa siyo ishu kitakwimu ukiachilia uchungu wa waliopoteza watu, tunarekebisha hiyo idadi fasta, wewe mwenyewe Zito Kabwe nina uhakika una watoto nje ya ndoa, ...
So unaunga mkono upuuzi wa Zitto!!! Huyo jamaa hamna alilosema kuhusu #covid19 likatiki...,Ni mropokaji mpuuzi kama unamfuata mfuate muwe wapuuzi wote.Sasa niunge nini kwa upuuzi huu wa serikali?
Haya wazee wa herd immunity. Angalieni Sweeden na Brazil wlivyokung'utwa.Unamaisha mazuri ila umeruhusu vishambulizi vya Afya yako vikutie kashikashi, Hata hivyo hujachelewa kujisaidia, ondoa mapenzi makubwa yaliyopitiliza kwenye vitu vya kipumbavu, hii itakusaidia kuondoa presha nyemelezi ambayo ni hatari kuliko Corona,,. Zingatia hili mkuu..
Nili ku qoute bahati mbaya, ulikaa katikati ya viazHa ha ha
Mi nimetoa hoja
Na si kile apingaye jambo humu Ni CCM, pole sana....
Hao watu 3% wamekufa wapi?? Watu wote wa mkoa wa Njombe wafe afu hali iwe kama ilivyo, Subutuuu.
Kwa hili, nampongeza Raisi, he was a visionary.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coronavirus: Sweden's controversial 'herd immunity' strategy seems to be paying"Serikali ya Magufuli kutumia mtindo wa 'Herd Immunity' kudhibiti Corona, ina maana 3% ya Watanzania wote (sawa na idadi ya watu wa mkoa wa Njombe) WATAKUFA. ACT wazalendo hatutaruhusu Watanzania wenzetu wafe kwa makusudi ya Serikali." Zitto Kabwe
Fuatilia Live #LIVE: ZITTO KABWE ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI View attachment 1455605
Sent using Jamii Forums mobile app
If you believe you are not safe under current government measures to combat the spread of CORONA Virus, and thus the pandemic COVID-19, why don't you relocate to a safe country of your choice.Nili ku qoute bahati mbaya, ulikaa katikati ya viaz
by the way hizo tafiti ziko mitandaon, sio maneno yake hata...ni tafiti za watafiti
survival of the fittest
Natural selection
Nature inaamua nani abaki nani aende...