trojan92
Member
- May 18, 2024
- 91
- 276
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza
Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?