Mimi nilioa mwanamke mwenye nuksi kama huyo wa kwako,
nikafilisika ndani ya miezi minne tu.
nikaona isiwe shida, nikaomba msaada kwa ndugu nipate mtaji hata laki 3, wakakataa kabisa.
nikajitetea sana kwamba toka nioe kuna mabadiliko yametokea nahisi kufilisika.
Nikapewa jibu eti pambana, ndoa sio mchezo.
nikaona isiwe kesi, nikakopa elfu 30 tu nauli, nikamrudisha kwao mtoto wa baba mkwe!
siku hio anaondoka nilipata Furaha flani hivi sikujua hata imetoka wapi.
Baada ya wiki nikaona michongo imeanza kufunguka yenyewe.
sitosahau hii ishu yangu