Kosa gani unalijutia hadi leo?

Kosa gani unalijutia hadi leo?

U
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.

Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.

Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Ukimwacha huyo mwanamke utapata laana. Amua tu kuwa na mke wa pili akuzalie watoto.
 
Kuhusu shida ya uzazi, kutopata mtoto, hili linatatulika na naku hakikishia.

Km kweli uko serious, Njoo inbox nikupe msaada.
 
Kamwe usimuache mke wa ndoa kisa tu hajajaaliwa kuzaa.

Utakuwa umemfanyia ukatili mkubwa sana wa kisaikolojia mkuu.

Unless kama una uthibitisho kwamba hapati mimba kwasababu alichezea usichana wake kwa kutoatoa mimba, kutumia madawa kama p2 nakadhalika.
Ukiweka udini pembeni we ni Mtu safi mno kiushauri.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.

Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.

Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Pole sana mwenyewe pia nina changamoto kama yako mke wangu ana PCOS hapati periods zake kabisa hata miezi mitatu minne lakini alhamdllah kuna dawa tulitumia nikutumia na vifaa vile vya kujua ovulation sasa hivi kapata ujauzito ngoja nije PM nijue cha kukushauri
 
Nitashukuru MNO bosss
 
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.

Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.

Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Simply, wew ni mattercall
 
Kuna ka dawa wanaweka mlangoni wanaweka na nguo yako(mwanaume) ukikaruka tu mtoto anafanana na wewe hata kama mimba sio yako..
 
Kwa ulipofikia kumuona ni nuksi kwenye maisha yako ni bora ukampa talaka.

Alafu acha kuwabebesha watu wengine lawama katika failures zako ukiwa na mentality hiyo hata kufanikiwa huwezi utaishia kuwa ni mtu wa lawama tu
Me nashangaa sijaona kosa la huyo binti mpaka sasa
 
pole sana mkuu lakini bado una option ya kumwacha uyuo mwanamke kwa kuwa huna mtoto naye
Halafu wanaume mkiachwa kwasababu hamna pesa mnalalamika. Mnasema wanawake wanapenda pesa hawana mapenzi ya kweli.

Anaweza akamwacha huyo mwanamke kama anapenda. Lakini nakwambia anaweza akapata watoto kwa wanawake wengine lakini mikosi itabaki pale pale. Amen!
 
Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti.
Halafu unakuta nawe pia ni wale wanaowasema vibaya single mother wakati ww pia ni sababu, halafu ndio mnakuja kututukana sisi ambao tumeamua kubeba mizigo yenu.
 
Back
Top Bottom