Kosa gani unalijutia hadi leo?

Kosa gani unalijutia hadi leo?

Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
n , wewe ndiyo una matatizo na mawazo yako ya ajabu, achana na binti wa watu unaemuita ana mkosi, kwani muoaji ni nani?ulirdhika NAE ukamweka ndani leo huu unamwita ana mkosi
 
Pole sana, binafsi hakuna chochote ninachokijutia Hadi Sasa, naishi Kwa furaha na vile ninavyotaka...sina chochote cha kuprove Kwa jamii, Kwa mtu yeyote yule au watu wangu, happiness is simple.

NB: Pressure kutoka nje ndiyo inayomaliza watu na kuwaacha na majuto, acha muda na vitendo viongee na si mdomo, wakichoka watanyamaza.
 
Back
Top Bottom