Kosa gani unalijutia hadi leo?

Kosa gani unalijutia hadi leo?

Halafu wanaume mkiachwa kwasababu hamna pesa mnalalamika. Mnasema wanawake wanapenda pesa hawana mapenzi ya kweli.

Anaweza akamwacha huyo mwanamke kama anapenda. Lakini nakwambia anaweza akapata watoto kwa wanawake wengine lakini mikosi itabaki pale pale. Amen!
sijui sijakuelewa au ni mitungi sioni ulichokiandika naomba fupisha muandiko dada
 
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.

Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.

Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Mungu atafungua njia tu siku moja
 
Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza🥺🤔🙇🏿‍♂
 
Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa.
Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila bado.

Kabla ya kumuoa mimi tayari nilishakuwa na mtoto ambaye kwa sasa ana 10 years. Pia baada ya kuona mambo hayaendi kuna mchepuko nilidate nae, nikapata nae mtoto. So ninao watoto wawili wa mama tofauti. Wazuri wanafanana, ila siipendi hii hali. Bado nataka watoto.

Huyu mke haponi, haoni siku zake sijui nifanye nn, kumuacha nashindwa maana ndiye anayelea mtoto wangu wa kwanza

Najuta, kutoka nashindwa. Nifanyaje?
Kutokufahamu mapema maana halisi ya watu.
 
Mkuu hii issue ilinikuta mimi kama hivi

Niliamua lolote iwe niliachana na mwanamke yule kwa kugawana mali
Leo hii naishi poa namke mwingine plus mtoto, just imagine ni 1 year na 7 months tu kila kitu kinaenda safi
 
pole sana mkuu lakini bado una option ya kumwacha uyuo mwanamke kwa kuwa huna mtoto naye
Kwanini amuache,ilhali anamlelea watoto,yeye akomae watatue tatizo hilo.
Siyo fair kabisa kumuacha mtu kisa ana tatizo ambalo yeye mwenyewe hakulisababisha.
 
Back
Top Bottom